Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wandishi wa Al Jazeera miaka 7 jela

Mahakama nchini Misri imewahukumu jela miaka saba wandishi watatu wa habari wa shirika la habari la Al Jazeera kwa kosa la kueneza habari za kupotosha

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wandishi wa Al Jazeera wafungwa jela

Serikali ya Misri imewahukumu jela kati ya miaka saba na kumi wandishi wa Al Jazeera

 

9 years ago

BBCSwahili

Waandishi wa Al Jazeera miaka 3 Jela

Mahakama nchini Misri imewahukumu waandishi watatu wa kituo cha runinga cha Al jazeera miaka mitatu jela

 

11 years ago

GPL

WANAHABARI WATATU WA AL JAZEERA JELA MIAKA 7

Wanahari wa Al Jazeera waliohukumiwa kwenda jela miaka 7. MAHAKAMA nchini Misri imewahukumu kwenda jela miaka saba wandishi watatu wa habari wa Shirika la Habari la Al Jazeera waliokuwa wamezuiliwa miezi sita nchini humo. Wanahabari hao walipatikana na hatia ya kueneza habari za upotoshaji na kushirikiana na kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Muslim Brotherhood. Mmoja wa wandishi hao ni Peter Greste, raia wa Australia...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wandishi wa Al Jazeera wanyimwa dhamana

Mahakama nchini Misri imewanyima dhamana kwa mara nyingine wandishi 3 wa habari wa Al Jazeera wanaotuhumiwa kulisaidia kundi la Brotherhood

 

11 years ago

BBCSwahili

Wandishi wa Al-Jazeera wanyimwa dhamana

Kesi dhidi ya wandishi watatu wa habari wa shirika la habari la Al-Jazeera,nchini Misri imeahirishwa kwa wiki nyingine moja na washitakiwa kunyimwa dhamana tena

 

11 years ago

BBCSwahili

Waandishi wa Al Jazeera wafungwa Jela

Mahakama nchini Misri imewahukumu jela wandishi 3 wa shirika la habari la Al Jazeera .

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar azungumza na wandishi wa Habari kuhusiana na sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi !!

DSC_0065

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu  maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 kufikia miaka 52 Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.

Na Khadija Khamis – Maelezo   

[ZANZIBAR] Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema kuwa Maadhimisho ya Shereha za Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yapo kama kawaida na yanatarajiwa kuanza  rasmi tarehe 3.12.2016  kwa kazi za usafi  wa mazingira katika maeneo mbali mbali  ya makaazi...

 

9 years ago

StarTV

Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)

Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo  kutokana na  upelelezi  wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...

 

5 years ago

Michuzi

Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5


Na Amiri kilagalila,Njombe

Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.

Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani