Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALIYEMPIGA HAUSIGELI ARUDI TENA RUMANDE

Mtuhumiwa wa kesi ya kumtesa hausigeli wake, Yasinta Rwechengura baada ya kushuka kutoka kwenye gari la magereza akielekea kizimbani chizi ya ulinzi mkali wa askari magereza. Ndugu wa Yasinta wakiwa nje ya jengo la Mahakama ya Kinondoni kabla ya mtuhumiwa huyo kupandishwa kizimbani.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanasheria aliyemjeruhi ‘hausigeli’ asota rumande

MWANASHERIA Yastinter Rwechungura (44), mkazi wa Boko-Njiabanda, jijini Dar es Salaam, anayekabiliwa na kesi ya kumfanyia ukatili msichana wake wa kazi, Merina Mathayo, amerudishwa rumande bada ya kushindwa kutimiza masharti...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diamond arudi tena Ujerumani

SIKU chache baada ya kushindwa kufanya shoo mjini Stuttgart, nchini Ujerumani, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ ameandaa shoo nyingine nchini humo. Shoo hiyo itafanyika...

 

11 years ago

GPL

UKATILI TENA: HAUSIGELI MWINGINE AJERUHIWA VIBAYA NA BOSI WAKE

Majeraha aliyonayo kichwani Melina Mathayo baada ya kupigwa na bosi wake. HAUSIGELI aitwaye Melina Mathayo mwenye umri kati ya miaka 15, ameumizwa vibaya sehemu za kichwani na kulazwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam baada ya kupigwa na bosi wake aitwaye Yasintha Rwechungura mkazi wa Boko. Akiongea na mwanahabari wetu akiwa katika hospitali hiyo, Melina amesema amekuwa akipigwa na bosi wake huyo mara kwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kupotea kwa Muda: Wema Sepetu Arudi tena Mzigoni Akiwa na JB

Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameshare nasi kipande kidogo cha video ya kazi mpya  inayokwenda kwa jina la  Chungu Cha Tatu akiwa na Staa mwenzake, Jacob Stephen  'JB' wakiwa 'lokesheni'.

Kwa muda mrefu sasa Wema Sepetu amekuwa afanyi filamu, Bila shaka mashabiki wake wana hamu kubwa sana ya kumuona tena kwenye filamu.

Jionee kipande cha kazi hiyo  HAPA

 

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyempiga kichwa mwamuzi aadhibiwa

Mchezaji wa timu ya SK Rum ya nchini Austria amefungiwa kutocheza mechi 70kama adhabu kwa kumpiga kichwa mwamuzi

 

5 years ago

Bongo5

Video: Msako waendelea kwa muuaji wa pasaka aliyempiga risasi mzee mpita njia na kuweka video ya tukio Facebook

Msako mkali unaendelea kumnasa Steve Stephens, 37 wa Cleveland, Ohia nchini Marekani, aliyehusika kwenye tukio la mauaji ya mzee wa miaka 74, Robert Godwin.

Muuaji huyo alidai kufanya kitendo hicho baada ya kukorofishana na mpenzi wake, na hasira zake aliamua kuzihamishia kwa mzee mpitanjia huyo huku akirekodi mauaji hayo na kuweka video Facebook.

Godwin, mfanyakazi wa zamani wa kiwandani na fundi mechanic, ana watoto 10 na wajukuu 14.

Mtoto wa kike, Tonya Godwin-Baines ameiambia CNN...

 

11 years ago

GPL

HAUSIGELI ALIVYOMUUA...

Stori: MWANDISHI WETU, SINGIDA SAKATA la wafanyakazi wa ndani kunyanyaswa na mabosi wao limeingia katika sura ya kipekee, safari hii mabosi wamegeukwa ambapo mmoja amedaiwa kuuawa na hausigeli wake aliyetajwa kwa jina la Valentina Karenge (17). Ndugu wa marehemu akiuandaa mwili kwa ajili ya kuagwa
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mfanyakazi huyo wa ndani mkoani Singida kudaiwa kumuuua tajiri yake kwa kumchoma kisu...

 

9 years ago

GPL

HAUSIGELI AJINYONGA!

Dustan Shekidele, Moro Mfanyakazi wa ndani ‘hausigeli’ mmoja mkoani hapa aliyefahamika kwa jina moja la Rehema (16) ambaye alifanya kazi hiyo kwa wiki moja, akimshikia mwenzake aliyekwenda kijijini kwao lfakara wilayani Kilombero kumuuguza mama yake, amejifungia chumbani kisha kujinyonga kwa kutumia kanga....Soma zaidi===>http://goo.gl/CN1Ati ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani