Ocampo: Nilikuwa sahihi kumshitaki Kenyatta.
Kiongozi wa zamani wa mashitaka katika mahakama ya jinai ya ICC, ameteta uamuzi wake wa kumshitaki Rais Uhuru Kenyatta licha ya kesi hiyo kutupiliwa mbali.
Bwana Luis Moreno Ocampo anasema kua mashitaka hayo dhidi ya Uhuru yalizuia ghasia kutokea tena katika uchaguzi wa mwaka 2013.
Kenyatta alishinda uchaguzi huo baada ya kugombea kwa tiketi ya chama cha TNA, huku akiituhumu mahakama hiyo kwa kuingilia maswala ya ndani ya Kenya.
Alishtakiwa kwa kosa la kuchochea ghasia za baada ya uchaguzi...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/79762000/jpg/_79762572_79760505.jpg)
Ocampo defends ICC Kenyatta charges
11 years ago
TheCitizen10 Feb
Ruto accuses Ocampo of vindicating him
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
''Niliokoa Kenya'' asema Moreno Ocampo
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/ke1.jpg)
JK AKUTANA NA UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA MZEE JOMO KENYATTA
10 years ago
TheCitizen18 Dec
Uhuru’s ICC case prevented violence in 2013: Ocampo
9 years ago
Mzalendo Zanzibar19 Sep
UKAWA kumshitaki Magufuli
Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli Inakusudia kuchukua hatua kwa madai mgombea huyo wa urais wa CCM anaiga na kutumia nembo za Chadema kwenye mabango na hotuba zake za kampeni. Na Waandishi […]
The post UKAWA kumshitaki Magufuli appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39f9vS2Uak*gHrqo*cntbOURRmIQyXhFGtsgp-6xo8dCR3Rl7b8MuUXXS26VvyxiN9YpQ24b9sheMkrfrRTWcs6h/mpoki.jpg?width=650)
MASTAA KUMSHITAKI MKOPI
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Liberia kumshitaki mgonjwa wa Ebola
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Agoma kumshitaki mume aliyemjeruhi
MKAZI wa Kijiji cha Kapiliula, wilayani Urambo, Magdalena Nsimba, aliyenusurika kifo baada ya kucharangwa mapanga na mumewe kwa madai ya kukataa kumpa sh 1,000 ya kununulia pombe, amekataa mumewe huyo...