ZARI AMPOKEA DIAMOND KWA SHANGWE UGANDA JANA

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda,Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Uganda jana. Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady wakiondoka Uwanja wa Ndege wa…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM18 Dec
DIAMOND APOKELEWA KWA MBWEMBWE UGANDA JANA
Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Uganda jana.
Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady wakiondoka Uwanja wa Ndege wa ndege jana.
Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady kwenye pozi.
Diamond Platnumz na Zari wakipigwa picha na wanahabari.
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Majibu ya Diamond Platnumz >> kilichomtoa machozi? Kazi na Wema? hakwenda kwa Zari Uganda.. (+Audio)
Staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz amerudi kwa uzito mkubwa kwenye headlines za muziki baada ya kuachia ngoma ya ‘Utanipenda’. Baada ya kuachia video ya ngoma hiyo, leo December 21 2015 kaachia audio rasmi hewani kwenye show ya ‘Leo Tena‘ Clouds FM… kwenye stori zilizopigwa aliulizwa pia kuhusu sababu iliyofanya apost kipande cha video kilichomtoa machozi […]
The post Majibu ya Diamond Platnumz >> kilichomtoa machozi? Kazi na Wema? hakwenda kwa Zari Uganda.. (+Audio) appeared first on...
10 years ago
Bongo Movies13 Jan
Mfahamu kwa undani zaidi mwanadada ZARI wa Uganda aliyetibua penzi la WEMA na Diamond. Ni tajiri balaaa!
INA Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum.
Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook, Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond na wengine wataunganisha na Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond.
Uhusiano...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Diamond afunika Kampala, Uganda jana
Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akitoa burudani usiku wa kuamkia leo katuka Uwanja wa Lugogo Cricket Oval, Kampala, Uganda.
Diamond akiimba kwa hisia.
Madansa wa Diamond wakiendelea na makamuzi.
…Akiwauliza jambo mashabiki wake wa Uganda (hawapo pichani).
…Akicheza sambamba na madansa wake.
…Akiimba wimbo wake mpya wa Utanipenda.
Diamond akiwa amesimama na madansa wake baada ya shoo.
USIKU wa kuamkia leo katika Uwanja wa Cricket wa Lugogo, Uganda, staa wa muziki wa Bongo...
10 years ago
GPL
ZARI, DIAMOND MAHABA KWEUPE UGANDA
10 years ago
GPL
DKT MAGUFULI NA MH SULUHU WALIVYOPOKELEWA KWA SHANGWE ZANZIBAR JANA
9 years ago
Bongo517 Dec
Zari na Diamond kuiteka Uganda wikiendi hii

Diamond na mchumba wake Zari The Bosslady wataiteka Kampala, Uganda wikiendi hii.
Wote watakuwa na show tofauti.
Zari atakuwa na All White Party Alhamis hii kwenye kiota cha Guvnor huku Diamond Ijumaa hii akitumbuiza kwenye uwanja wa cricket wa Lugogo akiwa na msanii wa Nigeria, Patoranking kwenye show ya Born 2 Win.
Tayari Zari ameshawasili nchini humo huku Diamond akitarajiwa kuwasili leo au kesho.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram...
10 years ago
GPL
DIAMOND, ZARI WAFUNIKA ALL WHITE CIROCPARTY ILIYOFANYIKA KAMPALA UGANDA