DIAMOND APOKELEWA KWA MBWEMBWE UGANDA JANA
Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Uganda jana.
Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady wakiondoka Uwanja wa Ndege wa ndege jana.
Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady kwenye pozi.
Diamond Platnumz na Zari wakipigwa picha na wanahabari.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iJVROLF4NIsH*IcfUmu*aogX-GlACFH0e-FVXLu5*ucQF7izPGQ35O3JatWFrL6C6aaPZgsbUc6Xkdg4kQ654cgh2p2vyvxK/10831760_1518195745097755_183207238_n.jpg)
ZARI AMPOKEA DIAMOND KWA SHANGWE UGANDA JANA
9 years ago
Habarileo06 Nov
Rais mpya apokelewa kwa mbwembwe Ikulu
RAIS Dk John Magufuli jana baada ya kuapishwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam alipokewa kwa shangwe na vifijo na wafanyakazi wa Ikulu eneo la Magogoni majira ya saa 7.30 mchana.
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Diamond afunika Kampala, Uganda jana
Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akitoa burudani usiku wa kuamkia leo katuka Uwanja wa Lugogo Cricket Oval, Kampala, Uganda.
Diamond akiimba kwa hisia.
Madansa wa Diamond wakiendelea na makamuzi.
…Akiwauliza jambo mashabiki wake wa Uganda (hawapo pichani).
…Akicheza sambamba na madansa wake.
…Akiimba wimbo wake mpya wa Utanipenda.
Diamond akiwa amesimama na madansa wake baada ya shoo.
USIKU wa kuamkia leo katika Uwanja wa Cricket wa Lugogo, Uganda, staa wa muziki wa Bongo...
11 years ago
GPL13 Jul
DIAMOND ATUA BONGO, APOKELEWA KWA SHANGWE
10 years ago
Vijimambo03 Dec
DIAMOND ATUA DAR, APOKELEWA KWA SHANGWE NA MAELFU
![](http://api.ning.com/files/4t8Bu5s6lgQ8l3g*VblmZCfQGfZop6K1j0rywNSErTRbOyZOUrP2hz-HZaDYeEvvj-K0H*T8YETJBPL4w4N9nEL4fA0qnloj/DIAMOND.jpg)
Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
![](http://api.ning.com/files/4t8Bu5s6lgQWsBuw7G-bCxbdZHKDD8iqryap3AUlCuf3ljEVS5qdRtpTFa9oa-hVwmnywZAy*gavkjXmtRlbWHuMpN5bsZlx/1diamond2.jpg?width=650)
Mashabiki waliofika uwanja wa ndege kumpokea Diamond.
![](http://api.ning.com/files/4t8Bu5s6lgS55W*7xCa1m4LYY*K*SM99gqht6fRi37U5LaweAcQrN9O-4apqyp9lTNyNUKK82ii*qMy9IIMANOMxKVJPrCMS/1diamond3.jpg?width=650)
Diamond akipokelewa na mashabiki kwa shangwe.
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa...
10 years ago
CloudsFM30 Dec
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Diamond-platinumz-3.jpg)
DIAMOND APOKELEWA KIFALME JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Exclusive: Diamond alitinga Zanzibar kuzima mbwembwe za Ali Kiba
Picha mbalimbali zikimuonyesha Diamond na Zari kwenye viunga vya Forodhani visiwani Zanzibar.
Na Andrew Chale wa Modewji blog, Zanzibar
Katika kile kinachoelezewa na wengi kupitia mitandao ya kijamii na baadhi ya watu walioongea na mtandao huu wa modewjiblog, wamefunguka juu ya kitendo cha mwanamuziki nguli Nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutinga visiwani Zanzibar akiwa na wapambe wake pamoja na Boss Lady Zari ‘asali wa moyo wake’ ni mbwe mbwe za kumzima Ali Kiba ambaye alitikisa...
11 years ago
GPLDIAMOND ATUWA BONGO, APOKELEWA NA WATU KIBAO USIKU