Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Exclusive: Diamond alitinga Zanzibar kuzima mbwembwe za Ali Kiba

10993948_10206280992848688_6301518464688375618_n

Picha mbalimbali zikimuonyesha Diamond na Zari kwenye viunga vya Forodhani visiwani Zanzibar.

Na Andrew Chale wa Modewji blog, Zanzibar

Katika kile kinachoelezewa na wengi kupitia mitandao ya kijamii na baadhi ya watu walioongea na mtandao huu wa modewjiblog,  wamefunguka juu ya kitendo cha mwanamuziki nguli Nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutinga visiwani Zanzibar akiwa na wapambe wake pamoja na Boss Lady Zari ‘asali wa moyo wake’ ni mbwe mbwe za kumzima Ali Kiba ambaye alitikisa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ni mpambano wa Ali Kiba V Diamond

Kitendawili cha muda mrefu cha ‘nani mbabe kati ya Ali Kiba na Diamond’ huenda kikapata moja ya majawabu yake leo usiku, wakati wa tamasha la Tuzo za Muziki za Kilimanjaro (KTMA) zitakazofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City.

 

11 years ago

GPL

ALI KIBA, DIAMOND WAFIKA PABAYA!

Na Sifael Paul
Hatimaye! Kwa mara ya kwanza staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba ameibuka na kumlipua hasimu wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, hali inayotafsiriwa kwamba bifu lao sasa limefika pabaya ikidaiwa kwamba wanagombea nyota (ustaa). Staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba. Kupitia Kipindi cha The Sporah...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ali Kiba: ‘Kolabo’ na Diamond haitatokea

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba, amesema haitakuja kutokea kufanya ‘kolabo’ na msanii wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ katika maisha yake. Kauli hiyo ya Ali...

 

11 years ago

GPL

ALI KIBA VS DIAMOND WANAGOMBEA UFALME

INAWEZEKANA lisiwe jibu sahihi lakini kwa kiasi fulani linatoa picha juu ya kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, kila kona gumzo ni juu ya nani mkali kimuziki kati ya Diamond Platnumz dhidi ya Ali Kiba. Ali Kiba. Nasibu Abdul ‘Diamond’ ndiye staa kwa sasa na amedumu kileleni kwa miaka kadhaa, hilo halina ubishi, lakini Ali Kiba amerejea kwa kutoa nyimbo mbili za Kimasomaso na… ...

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA ATANGAZA VITA NA DIAMOND!

Brighton Masalu VITA! Saa chache tu baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar akitokea nchini Marekani kwa shughuli za kimuziki, staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametangaza kile kinachotafsirika kuwa ni vita dhidi ya hasimu wake kwenye anga la muziki huo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ‘full’ stori. Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba....

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, ALI KIBA WAKUTANA UKUMBINI, WACHUNIANA!

Stori: Laurent Samatta na Gabriel Ngo’sha
Duh! Kama ulikuwa unaamini kuwa lile bifu la wakali wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba, limekwisha, basi umenoa baada ya jamaa hao kukutana ukumbini na kuchuniana. Baadhi ya wasanii wa Bongo fleva wakiwa kwenye mkutano. Ishu hiyo ilijiri kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Double Tree Hilton jijini Dar, juzikati ambapo wasanii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani