Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais mpya apokelewa kwa mbwembwe Ikulu

RAIS Dk John Magufuli jana baada ya kuapishwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam alipokewa kwa shangwe na vifijo na wafanyakazi wa Ikulu eneo la Magogoni majira ya saa 7.30 mchana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND APOKELEWA KWA MBWEMBWE UGANDA JANA

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Uganda jana.Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady wakiondoka Uwanja wa Ndege wa ndege jana.Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady kwenye pozi.Diamond Platnumz na Zari wakipigwa picha na wanahabari.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mbwembwe Malawi -Rais Mpya kushika doria

Viongozi wa Mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria sherehe za kumkabidhi madaraka rais mpya wa Jamhuri ya Malawi hii leo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Balozi mpya wa Marekani ajitambulisha kwa Mheshimiwa Makamu wa Rais Ikulu Dar leo

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib, akimkaribisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Mark Childres, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 9, 2014 kwa mazungumzo na utambulisho wa balozi huyo. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Mark Childres, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Nyusi wa Msumbiji apokelewa nchini kwa nderemo na vifijo

 Msanii wa kikundi cha ngoma ya Mganda akitumbuiza  wakati wa mapokezi ya Rais wa Msumbiji Mhe Filipe Nyusi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere.  Ngoma ya mganda   Sindimba   Kinamama wa kikundi cha Mount Usambara hawako nyuma  Rais Kikwete akisogea sehemu ya kumpokea mgeni  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe akisalimiana na balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe  Shamim Nyanduga. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...

 

9 years ago

Mwananchi

Azam kumkaribisha Ikulu rais mpya

Klabu ya Azam inayo nafasi kubwa ya kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu kutoka kwa Yanga iliyolazimishwa sare ya mabao 2-2 na Mwadui ya Shinyanga jana.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMWAPISHA IGP MPYA NA NAIBU WAKE LEO IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Ernest Mangu katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpatia nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Naibu Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Abdulrahman Kaniki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii.…
...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete amwapisha CAG mpya leo , Ikulu Jiji Dar

Picha na 1.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimwapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali Prof. Musa Juma Assad, leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Picha na 2

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali Prof. Musa Juma Assad akisaini hati ya kiapo chake mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya kuapishwa leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Picha na 3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto)...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE LEO IKULU

 Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.    Rais Jakayta Kikwete akimkabidhi nyaraka za kazi Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

  Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mpya wa Tanzania nchini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amuapisha Mkurugenzi mpya wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kombey Ikulu jijini Dar

t (1)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam, Julai 25, 2015.

t (2)

Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni, Julai 25, 2015.

Rais-uteuzi-tume ya uchaguzi.doc 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani