MADAI MAZITO...MAINDA MJAMZITO
![](http://api.ning.com:80/files/S6leBpJ8ovCKQtfaKKE6Oln2-oMeNFW7xygv4wJgC-U02*-K1o*ZLTP*WT*Gu1LQqGxpyU763r3uqSgHnBhQNZeff8I7k5Nn/mainda.jpg?width=650)
Stori: Shakoor Jongo Kama ni kweli hii ni habari njema! Siku chache baada ya kuliambia gazeti ndugu la hili, Amani kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa chango hivyo inambidi azae, super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kuwa mjamzito, Ijumaa Wikienda limechimba kila ‘engo’. Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’. MUONEKANO Habari zilieleza kwamba...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IDSxpu6BW22XiO7sOnkN793mQLrJ4eFrsAtChFUDVfuao*hmUL-Tb1C12Rb03TNjGyXZDO9Eliix*Tq1zhleuYz8FJlj17C-/kajala.jpg)
MADAI MAZITO; KAJALA AMHARIBU MWANAYE!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx9B74-zwzbZkbxc1aWpX3Daduttt-2pDrym1Di7LE2mwZ2Lcx-MHlDYMTQv6no1n7s0MAN0kLXgTFK7-q8jMPMh/yyakukojoa.jpg)
MADAI MAZITO MAMA AMUUA MTOTO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3LMHhNcLVJQ8kg1xLn*TPI0HBF7JQul6CXJwhvZYTZFJmtOLypxFebGDbErD5Occ2r-EC588aQ8kc33x4t0MaJV/RisasiJumamosifrontpdf.jpg)
MADAI MAZITO: UTAJIRI WA ZARI MAGUMASHI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6aOMGtxdGe6N--e*QBbg1rwpNCeapG9ZTTX7v2rAg7Wy*bScmL1PbYO--R4kbrWFImGhZZSVEJdc0nCTSobR29nc*Ze1-UDz/10.jpg)
MADAI MAZITO ROSE NDAUKA, RICHIE WARUDIANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HbsRLQ*GNXZ4aShKMnvkMWURBjPySOO313EFl48Y8eGbuHZnj9YSMH-5u5ZfgUYXPDPyQ5F5HYk4Rxk47faj3uCbzJn3Sgsu/BACKAMANI.jpg)
MADAI MAZITO: MCHUNGAJI ATOROSHA MKE WA MTU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91slcrUBN4gL4csmO6YyHrYMYV-tFb6OpoI1c5aMlumpFqKSyPZtDJ3j72amtiNSl79XSgo1wusvdERzGJBePGINj9/FRONTJUMAMOSI1.jpg)
MADAI MAZITO: ROSE MUHANDO ATUNDIKWA MIMBA
9 years ago
StarTV21 Nov
 Wakazi Nyarugusu Geita waandamana kwa madai ya kifo cha mjamzito
Wakazi wa Kijiji cha Nyarugusu wilayani Geita wameandamana hadi katika Zahanati ya kijijini hapo kwa madai ya Nesi kuhusika kusababisha kifo cha mama mjamzito aliyekosa huduma kwa uzembe wa nesi wa zamu.
Inadaiwa kuwa Novemba 18 Marehemu Kabula George alifikishwa katika Zahanati ya Nyarugusu ambapo alipokelewa na Nesi wa Zamu majira ya saa tano usiku.
Nesi huyo alimhudumia na kumwambia asubiri baada ya saa nne na nesi huyo aliondoka na kwenda kulala ambapo Kabula alizidiwa na uchungu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UxG8FbEp4zYbOSlfPdB0h4pzstbEXvqdtZhu4lIAIVf3chNKToajRXniGmxvSIRVYz13eMF3LqdWJI8Dt5VQet4NtZ*tkKgj/FRONTIJUMAA.gif)
MADAI MAZITO: AUNT ANASA MIMBA NJE YA NDOA
9 years ago
StarTV02 Dec
Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure
Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure
Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.
Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...