MAXIMO KUONGEA KILA SIKU YA IJUMAA
![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPsxLzgskZGpgkGZXxNmNY7ECJPClgyoozLJ5IsbiyOKh*czavyfa4Kno1lXbnwFHu3Wta7xBhKtF1ChwvLmaoyD/KochawaTimuyaClubyaYangaMaxioMaximo.jpg?width=650)
Kocha mkuu wa timu ya Young Africans SC Mbrazil Marcio Maximo. Kocha mkuu wa timu ya Young Africans SC, Mbrazil, Marcio Maximo amesema atakua akiongea na waandishi wa habari kila siku ya Ijumaa asubuhi mara tu baada ya mazoezi katika shule ya sekondari Loyola ili kuwapa nafasi na fursa ya kumuuliza maswali mbalimbali kuhusiana na maandalizi ya kikosi chake msimu ujao. Akiongea na mtandao rasmi wa klabu ya Young Africans...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-QlkfBN0BMVg/VfpRVYi2U5I/AAAAAAAD7rs/sPyS4TmvR2U/s72-c/Bongo-Flava-Logo%2B%25283%2529.jpg)
SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP
![](http://3.bp.blogspot.com/-QlkfBN0BMVg/VfpRVYi2U5I/AAAAAAAD7rs/sPyS4TmvR2U/s400/Bongo-Flava-Logo%2B%25283%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0B_Dy7O2VNE/VfpRVpp2OSI/AAAAAAAD7rw/II801JgrByg/s400/Bongo-Flava-Logo%2B%25282%2529.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-c7qW4p7Dr_c/UzAMJArTRFI/AAAAAAACeJE/upicg1yk9sA/s72-c/AfricanNight+(1).png)
KARIBU SAFARI CLUB THE NUMBER ONE EAST AFRICAN CLUB INDMV AREA KILA SIKU YA IJUMAA NA JUMAMOSI
![](http://3.bp.blogspot.com/-c7qW4p7Dr_c/UzAMJArTRFI/AAAAAAACeJE/upicg1yk9sA/s1600/AfricanNight+(1).png)
NO COVER CHARGE
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-pB1_totHtgM/VIjl849P_-I/AAAAAAAAHoQ/o0g55tqUdyc/s72-c/Mishumaa%2BFinal%2BProject%2B(1).jpg)
Mishumaa ya Kale LIVE .Ijumaa hii na kila Ijumaa
![](http://4.bp.blogspot.com/-pB1_totHtgM/VIjl849P_-I/AAAAAAAAHoQ/o0g55tqUdyc/s1600/Mishumaa%2BFinal%2BProject%2B(1).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-pB1_totHtgM/VIjl849P_-I/AAAAAAAAHoQ/o0g55tqUdyc/s72-c/Mishumaa%2BFinal%2BProject%2B(1).jpg)
Mishumaa ya Kale...Ijumaa hii na kila Ijumaa
![](http://4.bp.blogspot.com/-pB1_totHtgM/VIjl849P_-I/AAAAAAAAHoQ/o0g55tqUdyc/s1600/Mishumaa%2BFinal%2BProject%2B(1).jpg)
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Tumwogope Mungu kwa matendo yetu kila siku na kila wakati!
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Kutembea kwa dakika 20 kila siku, huongeza siku za kuishi
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-N6ZGq1hsBkE/UxdLk_mA8fI/AAAAAAAFRS8/kR79R1KzwKs/s72-c/unnamed+(42).jpg)
mambo ya isumba lounge kila Ijumaa na Jumamosi
![](http://3.bp.blogspot.com/-N6ZGq1hsBkE/UxdLk_mA8fI/AAAAAAAFRS8/kR79R1KzwKs/s1600/unnamed+(42).jpg)
10 years ago
Mtanzania17 Aug
Siku 47 za Maximo Yanga SC usipime
![Marcio Maximo](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Marcio-Maximo.jpg)
Kocha wa Yanga, Marcio Maximo
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KAMA kuna kitu kikubwa kwa kocha yeyote duniani, ni kufikia malengo aliyojiwekea.
Malengo hayo yana njia zake na hiyo hutokana na falsafa za kocha husika kwa kile anachokiamini.
Juni 29, mwaka huu, Yanga ilimrejesha kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbrazil Marcio Maximo, kama kocha wao mkuu pamoja na Mbrazil mwingine, Leonardo Neiva, ambaye ni msaidizi wake.
Julai 1 mwaka huu, Maximo alianza kibarua...
10 years ago
Vijimambo19 Feb