Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE> EDWARD NGOYAI LOWASA HAKUBALIANI NA MATOKEO YA UCHAGUZI YANAYOTANGAZWA NA NEC


Ndugu waandishi wa habari;Tumewaita hapa kuwaomba muwaeleze Watanzania wenzetu, jumuiya ya kimataifa na marafiki zetu wengine wa ndani na nje, kwamba hatukubaliani na matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kote nchini.Hii ni kwa sababu, upo ushahidi wa wazi unaothibitisha kwamba utangazaji wa matokeo hayo umevurugwa kwa makusudi na watendaji ndani ya NEC kwa kusaidiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM).Katika maeneo mengi ambako matokeo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU

Wagombea wa UKAWA na Mwenyekiti wa UKAWA wakionyesha kitabu chao cha Ilani ya Uchaguzi wa 2015.
Hotuba ya Lowassa

Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015

Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu

Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishirini na tano tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe, vyama vya upinzani wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD umeungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi kupigania uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwa na mgombea mmoja katika ngazi zote.
Miaka zaidi ya hamsini ya...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAULI YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA KUPINGA MATOKEO YANAYOENDELEA KUTANGAZWA NA NEC

Ndugu waandishi wa habari; Tumewaita hapa kuwaomba muwaeleze Watanzania wenzetu, jumuiya ya kimataifa na marafiki zetu wengine wa ndani na nje, kwamba hatukubaliani na matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kote nchini. Hii ni kwa sababu, upo ushahidi wa wazi unaothibitisha kwamba utangazaji wa matokeo hayo umevurugwa kwa makusudi na

 

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

TheCitizen

PROFILE: Edward Ngoyai Lowassa

Mr Edward Lowassa was born on August 26, 1953 in Munduli District in Arusha Region. He is the fourth child of herdsman Ngoyai Lowassa, who worked part-time for the colonial government in Monduli District as a village law enforcer.

 

10 years ago

Michuzi

Heri ya Kuzaliwa Mh. Edward Ngoyai Lowassa

Leo Agosti 26 ni siku ya kuzaliwa ya Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Ngoyai Lowassa aliezaliwa tarehe kama ya leo miaka 61 iliyopita.Mh. Lowassa anayo furaha kubwa kuisherehekea siku hii muhimu kwake na kwa familia kwa ujumla.Globu ya Jamii na timu yake inamtakiwa Heri ya siku ya kuzaliwa kwake.Mh. Lowassa akiwa shambani kwake wakati alipotembelea kuangalia maendeleo ya mifugo.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mh. Edward Lowasa hana msimamo thabit juu ya mashekhe wa Zanzibar walowekwa mahabusu.

Hapo jana, 03 october 2015. Ukawa walikuwa na mkutano mkubwa wa hadhara ulofanyika kisiwani Pemba. Katika Mkutano huo waliongea viongozi takriban 9 wa Ukawa. Ni saa nane kamili wakati Mh. Edward Lowasa alipopanda katika jukwaa na […]

The post Mh. Edward Lowasa hana msimamo thabit juu ya mashekhe wa Zanzibar walowekwa mahabusu. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

Baada ya Jina Lake Kukatwa, Haya Ndiyo Yanayomsumbua Edward Lowasa Mpaka Anashindwa Kula


Nimepata taarifa kutoka kwa watu walio karibu na Lowasa kuwa tangu juzi chakula hakijapanda kwa mzee. Kwamba kila akiwekewa chakula mezani, anachokonoa kidogo tu na inachukua muda mrefu kati ya tonge moja hadi jingine. Pia mdau huyo kanidokeza kuwa Mzee Lowasa kwa sasa ana mawazo mengi sana na hajui afanye nini. Wapo waliomshauri kuwa akae kimya katika kipindi hiki kigumu ili apate muda wa kutosha kutafakari na kufanya maamuzi. Hata hivyo, ushauri huo ameutupa kwani anahisi kwamba muda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani