Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamba apongeza Lowassa kukatwa CCM

KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, amepongeza chama hicho kwa kukata jina la Edward Lowassa, katika kundi la wawania urais wa chama hicho kwa kuwa hakuwa na sifa za kuwa Rais.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MATUMAINI YA WATANZANIA NDANI YA CCM BAADA YA MEMBE NA MAKAMBA KUSEMEKANA KUKATWA

John Pombe MagufuliAsha-Rose MigiroBalozi Amina Salum Ali 

 

10 years ago

GPL

LOWASSA: SINA HOFU KUKATWA JINA CCM

Waziri Mkuu Mstaafu na mtangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono wana-CCM  na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma. WAZIRI Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa amesema hana shaka na swala la kukatwa jina lake katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi(CCM), kwani anaamini chama chao kitatenda haki kwa kurudisha jina lake kuwa mgombea urais wa Tanzania.… ...

 

10 years ago

Raia Mwema

Mbeya wajikata baada ya Lowassa kukatwa

HATUA ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwaengua wanachama wake walioaminika kuteuliwa na chama hicho

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa apongeza amani ya Z’bar

MBUNGE wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na mkewe wakiwa kanisani, Zanzibar.WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amewapongeza Wazanzibar na Serikali ya mseto visiwani humo kwa kudumisha amani. Akitoa salamu zake Krismasi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mwanakwerekwe mjini Unguja alikokwenda kusali, Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli mkoani Arusha, alisema hali ya amani visiwani humo sasa ni shwari kabisa.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa azungumza kwa ufupi na waandishi wa habari kuhusu jina lake kukatwa

Lowassa azungumza kwa ufupi na waandishi wa habari kuhusu jina lake kukatwa

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Makamba ‘wagongana’ kanisani

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba wamewaomba viongozi wa dini kuwasamehe viongozi wa Serikali waliokwaruzana nao wakati wa mchakato wa Katiba na kuliombea Taifa lipate viongozi wenye hekima na uwezo katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.

 

9 years ago

TheCitizen

Makamba tears into Lowassa, says he’s not fit to be president

Former CCM secretary-general Yusuf Makamba has claimed that Chadema presidential candidate Edward Lowassa is corrupt and not fit to be president of Tanzania.

 

11 years ago

Habarileo

Membe apongeza CCM kuadhibu wasaka urais

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amepongeza hatua ya CCM kumpa onyo kali na kumweka chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja, kutokana na kubainika kuanza kampeni za urais kabla ya muda. Membe aliyeelezea sababu za kutokea kwa utovu huo wa nidhamu, amesifu utaratibu huo wa CCM kuadhibu makada wake kuwa ni sahihi na mfumo mzuri wa kutengeneza nidhamu ndani ya chama.

 

9 years ago

Mwananchi

Mosha wa CCM apongeza ushindi wa Chadema Moshi

Aliyekuwa mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Moshi Mjini, Davis Mosha amempongeza mpinzani wake, Jaffar Michael wa Chadema kwa kupata ushindi wa kishindo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani