Lowassa, Makamba ‘wagongana’ kanisani
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba wamewaomba viongozi wa dini kuwasamehe viongozi wa Serikali waliokwaruzana nao wakati wa mchakato wa Katiba na kuliombea Taifa lipate viongozi wenye hekima na uwezo katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar10 Sep
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Nao Wamuonya Lowassa Kwa Kauli ya Kibaguzi Kanisani
Mwenyekiti wa NEC Damian Lubuva Wednesday, September 9, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kitendo kilichofanywa na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa cha kuomba kura kwa kuwataka waumini wa madhehebu ya Kilutheri kumchagua […]
The post Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Nao Wamuonya Lowassa Kwa Kauli ya Kibaguzi Kanisani appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Habarileo07 Sep
Makamba apongeza Lowassa kukatwa CCM
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, amepongeza chama hicho kwa kukata jina la Edward Lowassa, katika kundi la wawania urais wa chama hicho kwa kuwa hakuwa na sifa za kuwa Rais.
9 years ago
TheCitizen07 Sep
Makamba tears into Lowassa, says he’s not fit to be president
11 years ago
GPLMH. LOWASSA AMFARIJI MZEE MAKAMBA ALIEFIWA NA MAMA YAKE MZAZI
10 years ago
Vijimambo27 May
Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowasa-27May2015.jpg)
Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.
Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
9 years ago
VijimamboMakamba Ashangazwa Na HAYA MAGAZETI MATATU KUHUSU Vichwa Vya Habari Kuhusu Lowassa
![](http://i0.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2015/09/makamba.jpg?resize=702%2C336)
Naibu waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameonesha kushangazwa na mfanano wa vichwa vya habari vya magazeti ya leo kuhusu mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.Makamba ambaye ni mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM, ameonesha kurasa za mbele za magazeti ya Mtanzania, Mwananchi na Tanzania Daima zilizokuwa na vichwa vya habari vinavyomnukuu Lowassa akitaka watanzania wasiogope.Amepost picha za magazeti hayo kwenye twitter na kuhoji kama mfanano huo ni bahati mbaya...
10 years ago
Habarileo17 Jun
Mwigulu, Makongoro `wagongana’ Kagera
MBIO za kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zimeendelea kwa baadhi ya wagombea kuzidi kumiminika mkoani Kagera kutafuta wadhamini katika fomu zao huku wagombea wawili jana wakikutana ndani ya ofisi ya CCM mkoani Kagera.
10 years ago
Vijimambo05 Jan
IPTL,Tanesco sasa wagongana angani
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2579088/highRes/914713/-/maxw/600/-/13bh4an/-/sethi.jpg)