MH. LOWASSA AMFARIJI MZEE MAKAMBA ALIEFIWA NA MAMA YAKE MZAZI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba (wa pili kushoto) wakati alipokuwa akimtambulisha dada zake,wakati Mh Lowassa alipokwenda kumpa pole Mzee Makamba aliepatwa na msiba wa kufiwa na mama yake mzazi huko kijijini kwake Maezangula wilaya ya Korogwe,Mkoani Tanga jana. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-YJ-CvBYuNjY/Ut7lV0_ScxI/AAAAAAAALao/WusFQQkLstU/s1600/3.jpg)
MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MAMA WA MZEE MAKAMBA
10 years ago
MichuziMh. Lowassa amfariji mzee Ndejembi,kwa kufiwa na mjukuu wake
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PIJUTubi-U8/Xr_LGTECp-I/AAAAAAAC5cA/aMOU_ZokYIYpwY00EUKo2EN8a4Ol7phuwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
AMUUA MAMA YAKE MZAZI KISHA KUINYWA DAMU YAKE
Na.Vero Ignatus Arusha.
Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha linamshikilia Daniel Emmanuel (32) Mkazi wa Sakila wilayani Arumeru, kwa kukutwa akinywa damu ya mama yake Mzazi Eliyamulika Emmanuel Sarakikiya (79) kwenye kikombe, baada ya kumuua kwa shoka na kutenganisha shingo,mkono na mguu na kiwiliwili.
Akizungumza kwa masikitiko, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shana amesema mtuhumiwa huyo alifanya mauaji hayo Mei 15 mwaka huu, majira ya saa 9:00 mchana katika Kijiji cha Sakila...
10 years ago
MichuziDKT. BILAL AMFARIJI JAJI MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KWA KUFIWA NA MAMA YAKE MSAZI
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Tido afiwa na mama yake mzazi
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Ambaka, amuua mama yake mzazi
MTU anayedhaniwa kuwa ni mgonjwa wa akili, amembaka na kumuua kwa kumpiga fimbo kichwani na usoni kisha kumnyonga shingo mama yake mzazi mwenye miaka 73, mkazi wa Kijiji cha Ibungila...
9 years ago
Bongo505 Oct
Sheria Ngowi afiwa na mama yake mzazi