MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MAMA WA MZEE MAKAMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-YJ-CvBYuNjY/Ut7lV0_ScxI/AAAAAAAALao/WusFQQkLstU/s1600/3.jpg)
 Mzee Yusufu Makamba akishauriana jambo na mwanae January Makamba wkati wa shughuli za mazishi zikiendelea. Mzee Yusufu Makamba amefiwa na mama yake mzazi aliyefahamika kama Mariam Masau Kivugo kilichotokea tarehe 21 January 2014.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMH. LOWASSA AMFARIJI MZEE MAKAMBA ALIEFIWA NA MAMA YAKE MZAZI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba (wa pili kushoto) wakati alipokuwa akimtambulisha dada zake,wakati Mh Lowassa alipokwenda kumpa pole Mzee Makamba aliepatwa na msiba wa kufiwa na mama yake mzazi huko kijijini kwake Maezangula wilaya ya Korogwe,Mkoani Tanga jana.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh....
10 years ago
MichuziMAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MKE WA JAJI ANTONY BAHATI
Jaji mstaafu, Antony, Bahati akiweka shada la maua katika kaburi la mke wake, Laurentia Bahati wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xUJTJk2Qmyg/VOH12ofge7I/AAAAAAAHD_Q/eNkTCoymoXE/s72-c/FILE0057.jpg)
mamia washiriki mazishi ya mke wa john kitime kwenye makaburi ya kinondoni,jijini dar leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-xUJTJk2Qmyg/VOH12ofge7I/AAAAAAAHD_Q/eNkTCoymoXE/s1600/FILE0057.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ze2nRfJZsdA/VOH125Q8g0I/AAAAAAAHD_U/Av26QS6-Itc/s1600/FILE0059.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-oE9BMpLnV1A/VOH18209QUI/AAAAAAAHD_w/WeYpnvtV8ks/s1600/IMG_20150216_153949.jpg)
10 years ago
GPLPAUL MAKONDA AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BABA WA STEVE NYERERE
 Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake.  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Francis Festus Mengele.  Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere, Grace Mengele (katikati), akiwa na wadogo zake Steve Nyerere wakati akiwasili makaburi ya Kinondoni kwa mazishi ya mpendwa wao, Francis Mengele.… ...
10 years ago
VijimamboMAMIA WAHUDHURIA KATIKA MAZISHI YA MPENDWA WETU MAREHEMU MAMA ESTHER S. MWAIPASI NZOVWE MBEYA.
Mume wa Marehemu Esther Mwaipasi akiwa katika Majonzi
10 years ago
GPLWASHIRIKI 18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
Jopo la Majaji, Kutoka Kulia ni Zephaniah Muggitu wa Digital Consulting Ltd, Jairos Mahenge Mhifadhi Mwandamizi wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu, Dora Myinga Mkulima na Mjasiliamali, Mwandiwe Makame Mkulima na Mfugaji, Roselyn Kaihula kutoka Ekama Development.  Eluka Kibona, Meneja Utetezi na Ushawishi Oxfam akikaribisha majaji kwa ajili ya kutaja majina ya washindi watakao ingia shindano la Mama Shujaa wa Chakula...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7Cn9ebi4iYw/U5XUqFJIFyI/AAAAAAAFpLM/CEwN9msyvP0/s72-c/16.jpg)
RAIS KIKWETE AWAONGOMA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MAREHEMU MZEE SAID NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-7Cn9ebi4iYw/U5XUqFJIFyI/AAAAAAAFpLM/CEwN9msyvP0/s1600/16.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1KVXjmxkPmM/U5XUplUezCI/AAAAAAAFpLI/rz-rCnDTMfU/s1600/17.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-UjNnWqonmuI/U5XWQy_pcAI/AAAAAAAFpP4/-ElXwHuRzVk/s1600/_5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-gwrGe28cIOU/U5XWQZ_LE-I/AAAAAAAFpPw/1rkRJa3Ip8s/s1600/_4.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania