mamia washiriki mazishi ya mke wa john kitime kwenye makaburi ya kinondoni,jijini dar leo

Umati wa waombolezaji ulioshiriki kwenye mazishi ya Mke wa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,Bw. John Kitime,Marehemu Janeth Joan Chidosa Kitime alizikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam.
Taratibu za mazishi zikiendelea kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam leo.
Mume wa Marehemu Janeth Joan Chidosa Kitime,Bw. John Kitime akitoka kuweka shada la maua kwenye kaburi la mkewe wakati wa mazishi yaliyofanyika jioni hii kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
WENGI WASHIRIKI KWENYE MASHIZI YA MKE WA JOHN KITIME KWENYE MAKABURI YA KINONDONI,JIJINI DAR LEO



10 years ago
GPL
MKE WA KITIME AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI DAR
11 years ago
Michuzi03 Feb
MAMIA WAMZIKA MEJA MSTAAFU SAMWEL ISAAC CHEKINGO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR





11 years ago
GPL
MAMIA WAMZIKA MEJA MSTAAFU SAMWEL ISAAC CHEKINGO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR
11 years ago
Michuzi08 Mar
10 years ago
GPL17 Feb
10 years ago
Michuzi
mazishi ya faith catherine Gondwe makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam
10 years ago
VijimamboMAZISHI YA DADA, MAMA, BIBI BETTISHEBA KETANG'ENYI MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR
10 years ago
MichuziMAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MKE WA JAJI ANTONY BAHATI
Jaji mstaafu, Antony, Bahati akiweka shada la maua katika kaburi la mke wake, Laurentia Bahati wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI