Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mazishi ya faith catherine Gondwe makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam

Umati mkubwa wa waombolezaji leo Jumamosi February 21, 2015 wamejumuika na familia ya Mzee Geofrey Gondwe katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele Marehemu Faith Catherine Gondwe, dada yetu aliyeaga dunia ghafla Jumanne iliyopita nyumbani kwao Baahari  Beach jijini Dar es salaam. Ujumbe wa sauti wa kurekodiwa kutoka kwa Mzee Gondwe ambaye yuko India kwa matibabu kuliwaliza wengi na wakati huo huo uliwafariji pale aliposema "Kufariki dunia kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAZISHI YA DADA, MAMA, BIBI BETTISHEBA KETANG'ENYI MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

Mtoto wa marehemu Frederick Ketang'enyi akiwa amebeba msalaba katika makaburi ya Kinondoni kwenye mazishi ya mpendwa mama yake yaliyofanyika siku ya Jumamosi Octoba 10, 2015 jijini Dar.Wanafamilia wakiwa wamebeba jeneza lililobeba mwili wa mpendwa dada, mama bibi Bettisheba Ketang'enyi katika kumpumzisha katika nyumba yake ya milele kulikofanyika siku ya Jumamosi Octoba 10, 2015 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Padri akiongoza ibada ya mazishi katika makaburi ya Kinondoni...

 

10 years ago

Michuzi

mamia washiriki mazishi ya mke wa john kitime kwenye makaburi ya kinondoni,jijini dar leo

 Umati wa waombolezaji ulioshiriki kwenye mazishi ya Mke wa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,Bw. John Kitime,Marehemu Janeth Joan Chidosa Kitime alizikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam.Taratibu za mazishi zikiendelea kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam leo. Mume wa  Marehemu Janeth Joan Chidosa Kitime,Bw. John Kitime akitoka kuweka shada la maua kwenye kaburi la mkewe wakati wa mazishi yaliyofanyika jioni hii kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es...

 

10 years ago

Vijimambo

MAZISHI YA DK.EMMANUEL MAKAIDI KUFANYIKA MAKABURI YA SINZA, MWILI WAKE KUAGWA KESHO ASUBUHI VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

Mjane wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanuel Makaidi, Modesta Ponela Makaidi akiwa katika huzuni baada ya kuondokewa na mpendwa wake.
Mtoto wa kwanza wa Dk. Makaidi, Hilda Emmanuel Makaidi akizungumza na wanahabari (hawapo pichani)
Mtoto wa marehemu Mhandisi Emmanueli Makaidi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ratiba ya mazishi ya baba yake.Ndugu, jamaa, marafiki na waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwa Dk.Makaidi Sinza.Mjane wa...

 

11 years ago

GPL

MAZISHI YA RECHO HAULE YALIVYOFANYIKA MAKABURI YA KINONDONI DAR

Mwenyekiti wa Bongo Muvi Steven Nyerere akiweka shada la maua katika kaburi. Ndugu wa marehemu wakiweka mashada.…

 

10 years ago

Michuzi

JAJI ANTONY BAHATI KUZIKWA LEO MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani. Watoto wa marehemu wakiwa na huzuni mara baada ya mwili kuwasili nyumbani.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Jaji mstaafu, Antony Bahati nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mazishi ya jaji Bahati yanafanyika leo Juni 2 katika makaburi ya Kinondoni. (Picha na Francis Dande) Baadhi ya waombolezaji.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

WADAU JESSE NA FAITH WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mdau mwandamizi wa Globu ya Jamii ambaye ni Meneja wa Benki Bw. Jesse Harris Mlule akimvisha pete Faith Alex Ndamalya walipomeremeta leo Januari 2, 2016 katika kanisa la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ukumbi wa Tanzania Law School kwa mnuso wa nguvu ila si kabla ya kupitia Ledger's Plaza Bahari Beach Hotel kwa mapumziko mafupi. Mdau Faith Alex Ndamalya akimvisha pete mumewe Jesse Jesse akiweka saini katika hati ya Ndoa Faith akiweka saini kwenye hati ya ndoaMaharusi...

 

10 years ago

Michuzi

klabu za michezo za maveterani Dar es salaam kurehemu marehemu Jumatatu (Mapinduzi Day) Leaders club, Kinondoni, jijini Dar es salaam

Umoja wa klabu za michezo za maveterani Dar es salaam,  chini ya uratibu wa klabu za Singasinga na Tazara,  unatangaza rasmi kwamba  shughuli ya kurehemu wanachama wenzetu ambao wametangulia mbele ya haki itafanyika JUMATATU 12/1/2015, ikiwa pia ni  sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Mapinduzi.
Ratiba itaanza  Saa 7 mchana katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam. Dua zitafanyika  kutoka kwa Father Oscar na Sheikh Kipoozeo. Dua hizo zitafuatiwa na Chakula cha pamoja cha mchana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani