MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MKE WA JAJI ANTONY BAHATI
Mwalimu Laurentia Bahati enzi za uhai wake.
Jaji mstaafu, Antony, Bahati akiweka shada la maua katika kaburi la mke wake, Laurentia Bahati wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni.Jaji Mkuu mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
mamia washiriki mazishi ya mke wa john kitime kwenye makaburi ya kinondoni,jijini dar leo



10 years ago
MichuziJAJI ANTONY BAHATI KUZIKWA LEO MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
11 years ago
GPL
MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MAMA WA MZEE MAKAMBA
5 years ago
Michuzi
JAJI KIONGOZI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JAJI MSTAAFU MUSHI


11 years ago
Mwananchi17 Jan
JK, mamia wamuaga Jaji Liundi
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Kikwete aongoza mamia mazishi ya mbunge wa Chalinze Bagamoyo
10 years ago
Dewji Blog16 Jun
DC Makonda aongoza mamia mazishi ya Baba wa msanii Steve Nyerere
Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake.
Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere, Grace Mengele (katikati), akiwa na wadogo zake Steve Nyerere wakati akiwasili makaburi ya Kinondoni kwa mazishi ya mpendwa wao, Francis Mengele.
Watoto wa marehemu na dada zake wakiwa kwenye ibada ya maziko makaburi ya Kinondoni.
Ibada ya maziko ikiendelea.
Hali ilivyokuwa...
11 years ago
Habarileo23 Aug
Pinda aongoza mamia kumuaga Jaji Makame
MAMIA ya watu wakiwemo viongozi wa nyanja mbalimbali nchini, jana walijitokeza kuuaga mwili wa Jaji mstaafu, Lewis Makame kwenye viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam, huku sifa za utendaji wakati wa utumishi wake zikitawala shughuli hiyo.