IPTL,Tanesco sasa wagongana angani
Dar es Salaam. Wakati Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) chini ya uongozi wa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Ltd (PAP), ikitangaza kupunguza bei ya umeme kwa asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo wake, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema halina taarifa yoyote.“Tunatarajia hatua za upanuzi kwenda haraka kuhakikisha kuwa IPTL inatoa huduma bora ya uhakika na nafuu kwa Taifa hili. Ningependa kutoa shukrani zangu kwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Giza nene mabilioni ya IPTL, Tanesco
10 years ago
Dewji Blog06 Apr
Mashirika ya ndege ya Boeing 747-8 sasa yaja na ‘jumba la kifahari’ angani
Sehemu ya ndani chumbani kama inavyoonekana.
Na Andrew Chale wa Modewji blog, kwa msaada wa Mashirika ya Habari.
Huenda bado ujasikia juu ya baadhi ya ndege ndogo, za kati na zile kubwa zimekuja na mfumo mpya zaidi ndani ya ndege zao ikiwemo kutengeneza chumba cha kifahari ndani ya ndege kiasi cha kujiona kama upo nyumbani kwako kwenye jumba la kifahari.
Ndege ya Gulfstream G650, miongoni tu waliokuja na mfumo huo kwenye ndege yao hiyo ya usafiri wa anga kifahari, lakini kuna wachache...
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Mahakama yaiamuru SCBHK, TANESCO kutokuwabugudhi wamiliki wa IPTL
Katibu na Mwanasheria mkuu wa kampuni ya ufuaji umeme ya IPTL, Bw. Joseph Makandege akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) nakala ya hukumu iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania ikizuia benki ya Standard Chartered ya Hong Kong na Tanesco kuendelea kuwabugudhi wamiliki wa IPTL na kuingilia uendeshaji wa mitambo yake. Kushoto ni Meneja Rasilimali watu wa IPTL Bw. Aidan Kaude.
-Yasema Bw. Sethi kuendelea kusimamia mitambo ya ufuaji umeme ya Tegeta
Na Mwandishi Wetu
Mahakama Kuu...
11 years ago
TheCitizen27 Mar
What Washington tribunal verdict means for Tanesco, IPTL billions
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BwQHig-W6bs/U9IlXX1vbuI/AAAAAAACmK0/7-E5I5nqYSk/s72-c/IPTL+1.jpg)
Songas, IPTL wachangiaji pekee wa umeme gridi ya Taifa - Tanesco
Uwezo ulioongezwa katika mitambo ya gesi asilia ya Songas iliyopo Ubungo ni ya megawati 189, wakati kampuni ya IPTL inatumia mafuta mazito na uwezo wake ni kuzalisha megawati 103, ingawa uzalishaji huo ubadilika...
10 years ago
IPPmedia28 Nov
Govt denies Tanesco board fired legal officer after due diligence in IPTL saga
IPPmedia
IPPmedia
The government has refuted claims that legal officer of Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) Godwin Ngwilimi was not fired but rather, he resigned voluntarily. The claimed government clarification was prompted by the Wednesday tabling of the ...
Tanzania PM sidesteps calls to quit over graft claimsReuters Canada
Tanzania PM Mizengo Pinda caught in corruption rowCitifmonline
all 23
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Sakata la IPTL, sasa wanasiasa waonywa
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Rugemalira wa IPTL sasa ‘mikononi’ mwa Takukuru
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-87QU_E9iSEc/VPXg50kNfRI/AAAAAAAAB2c/1Uo21Q4Q5Rw/s72-c/Mita.jpg)
TANESCO sasa mambo shwari Luku
![](http://4.bp.blogspot.com/-87QU_E9iSEc/VPXg50kNfRI/AAAAAAAAB2c/1Uo21Q4Q5Rw/s1600/Mita.jpg)