Sakata la IPTL, sasa wanasiasa waonywa
Wanasiasa wametakiwa kukaa kimya na kusubiri matokeo ya ripoti ya IPTL itakayotolewa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) watakapoendelea kuongea watasababisha kuchakachuliwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 May
Wanasiasa wanaonunua madaraka waonywa
WANANCHI wametakiwa kuwa waangalifu na wanasiasa wanaotumia rushwa kutaka uongozi kwani hawana nia kuongoza nchi.
11 years ago
Habarileo02 Mar
Wanasiasa waonywa kuhusu urani
WANASIASA wametakiwa kuzingatia utafiti na ushauri wa kitaalamu, kabla ya kuruhusu kuanzishwa kwa migodi ya uchimbaji wa madini ya urani, yaliyogundulika katika maeneo mbalimbali nchini.
9 years ago
Habarileo08 Dec
Wanasiasa waonywa kuingilia kazi za NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka viongozi wa vyama vya siasa na serikali kuitoingilia mchakato wa kusimamia na kuendesha uchaguzi, bali wawaache maofisa wa Tume hiyo kufanya kazi yao.
10 years ago
StarTV24 Oct
Watanzania waonywa dhidi ya kutumiwa na wanasiasa
WAUMINI wa dini mbalimbali nchini na Watanzania kwa ujumla wameonywa juu ya kuacha kukubali kutumiwa na wanasiasa kufanya vitendo vya kuvunja sheria siku ya uchaguzi mkuu, hali inayoweza kuleta vurugu na kuvuruga amani na utulivu
Mmoja wa viongozi wa dini ya Kiislamu mkoani Singida Shekhe Issa Nasoro amesema leo kuwa kauli kinzani za Tume ya uchaguzi, Serikali na baadhi ya wanasiasa kubaki au kuondoka vituoni baada ya kupiga kura zinapaswa kupimwa na kila mtu kutumia akili zake ili...
10 years ago
Habarileo20 Mar
Wanasiasa waonywa kumsemea Rais Kikwete
VIONGOZI wa kisiasa wametakiwa kutomsemea wala kumuwekea maneno mdomoni Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete kuwa ana nia ya kukata baadhi ya majina ya ugombea urais kwenye uchaguzi mkuu.
10 years ago
Habarileo08 Jan
Wanasiasa waonywa mpango wa kunusuru kaya maskini
VIONGOZI na wanasiasa wameaswa kutotumia mpango wa kunusuru kaya masikini wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) kuingiza majina ya watu ambao si walengwa.
11 years ago
Tanzania Daima04 Oct
IPTL/PAP yawaonya wanasiasa
KAMPUNI ya IPTL/PAP imewataka wanasiasa kutambua kwamba kampuni hiyo sio mali ya serikali, bali inazalisha na kuuza umeme. Imesema kuendelea kujadili masuala ya ndani ya uendeshaji ikiwemo namna ya kuzalisha...
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Wataka sakata la IPTL bungeni
11 years ago
Dewji Blog29 Oct
Wananchi kuweni makini na kauli za wanasiasa-IPTL
Katibu na Mshauri Mkuu wa Makapuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), Bw. Joseph Makandege, (mwenye suti nyeusi kushoto) akimkabidhi Mwinjilisti wa Kanisa la KKKT Usharika wa Likamba Wilayani Arumeru, mkoani Arusha, Bi Martha Musa Kivuyo (mwenye nguo nyeupe), mfano wa hundi ya Shilingi milioni 10 kati ya Silingi milioni 20 (Tsh 20m/-) iliyotolewa na kampuni ya IPTL/PAP, kusaidia kwaya ya Patano la Usharika wa Likamba...