Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Songas, IPTL wachangiaji pekee wa umeme gridi ya Taifa - Tanesco

MAKAMPUNI ya Songas Tanzania na Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ni makampuni pekee ya binafsi yazalishayo umeme ambayo kwa sasa uzalisha umeme kwa ajili ya gridi ya Taifa wakati mengine yaliyobaki Aggreko na Symbion Power Tanzania yakiwa yanatumika tu wakati wa dharura. 
Uwezo ulioongezwa katika mitambo ya gesi asilia ya Songas iliyopo Ubungo ni ya megawati 189, wakati kampuni ya IPTL inatumia mafuta mazito na uwezo wake ni kuzalisha megawati 103, ingawa uzalishaji huo ubadilika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

GGM KUANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI YA TAIFA MWEZI JUNI MWAKA HUU

Waziri wa Nishati, Dkt. Medrad Kalemani, ( katikati) akitoa maelekezo kwa wakandarasi wanaotekeleza ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Mponvu mkoani Geita baada ya kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo hicho alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho.
Muonekano wa sehemu ya mitambo ya katika kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Mponvu kinachotarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Mei, 2020.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akikagua...

 

9 years ago

Habarileo

Ukosefu wa umeme kukumba mikoa ya Gridi

BAADA ya kufika kwa gesi asilia jijini Dar es Salaam ikitokea Mtwara, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), itaingiza gesi hiyo katika mitambo yote ya umeme nchini, hivyo kuanzia leo kutakuwa na ukosefu wa umeme katika mikoa yote inayotumia Gridi ya Taifa.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YADHAMIRIA KUPELEKA UMEME WA GRIDI KAGERA YOTE

Veronica Simba – KageraWaziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesema Serikali imedhamiria kupeleka umeme wa gridi ya Taifa katika Mkoa wote wa Kagera, awamu kwa awamu ikianza na Wilaya za Bukoba Vijijini, Muleba na Misenyi.
Amesema Wilaya hizo za awali zitaungwa kwenye gridi ya Taifa ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kutoka sasa.
Waziri ameeleza hayo Februari 27 mwaka huu wakati akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Generali Marco Gaguti, akiwa katika ziara ya kazi.
“Wataalamu wetu...

 

11 years ago

Habarileo

Watu wasiojulikana wahujumu gridi ya Taifa

WATU wasiojulikana wilayani Kahama, wameangusha nguzo mbili kubwa za chuma zinazosafirisha umeme wa gridi ya Taifa na kuchukua baadhi ya vyuma. Hali hiyo imesababisha maeneo kadhaa mikoa ya Mwanza, Geita na Shinyanga kukosa umeme.

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA





Mhandisi  Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa  habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya  akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini




Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya  ambazo zilizokatwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

IPTL,Tanesco sasa wagongana angani

Dar es Salaam. Wakati Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) chini ya uongozi wa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Ltd (PAP), ikitangaza kupunguza bei ya umeme kwa asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo wake, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema halina taarifa yoyote.“Tunatarajia hatua za upanuzi kwenda haraka kuhakikisha kuwa IPTL inatoa huduma bora ya uhakika na nafuu kwa Taifa hili. Ningependa kutoa shukrani zangu kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Giza nene mabilioni ya IPTL, Tanesco

Wakati haijafahamika nani aliyelipwa mabilioni ya shilingi yaliyokuwa kwenye akaunti ya Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutokana na mvutano baina ya Tanesco na Kampuni ya IPTL, imebainika kuwa Bunge liliwahi kuagiza fedha hizo zisichukuliwe mpaka mitambo ya IPTL itakapokuwa chini ya Tanesco mwakani.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahakama yaiamuru SCBHK, TANESCO kutokuwabugudhi wamiliki wa IPTL

Makandege 2

Katibu na Mwanasheria mkuu wa kampuni ya ufuaji umeme ya IPTL, Bw. Joseph Makandege akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) nakala ya hukumu iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania ikizuia benki ya Standard Chartered ya Hong Kong na Tanesco kuendelea kuwabugudhi wamiliki wa IPTL na kuingilia uendeshaji wa mitambo yake. Kushoto ni Meneja Rasilimali watu wa IPTL Bw. Aidan Kaude. 

-Yasema Bw. Sethi kuendelea kusimamia mitambo ya ufuaji umeme ya Tegeta

Na Mwandishi Wetu

Mahakama Kuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani