Ukosefu wa umeme kukumba mikoa ya Gridi
BAADA ya kufika kwa gesi asilia jijini Dar es Salaam ikitokea Mtwara, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), itaingiza gesi hiyo katika mitambo yote ya umeme nchini, hivyo kuanzia leo kutakuwa na ukosefu wa umeme katika mikoa yote inayotumia Gridi ya Taifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziSERIKALI YADHAMIRIA KUPELEKA UMEME WA GRIDI KAGERA YOTE
Amesema Wilaya hizo za awali zitaungwa kwenye gridi ya Taifa ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kutoka sasa.
Waziri ameeleza hayo Februari 27 mwaka huu wakati akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Generali Marco Gaguti, akiwa katika ziara ya kazi.
“Wataalamu wetu...
11 years ago
MichuziSongas, IPTL wachangiaji pekee wa umeme gridi ya Taifa - Tanesco
Uwezo ulioongezwa katika mitambo ya gesi asilia ya Songas iliyopo Ubungo ni ya megawati 189, wakati kampuni ya IPTL inatumia mafuta mazito na uwezo wake ni kuzalisha megawati 103, ingawa uzalishaji huo ubadilika...
5 years ago
MichuziGGM KUANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI YA TAIFA MWEZI JUNI MWAKA HUU
Muonekano wa sehemu ya mitambo ya katika kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Mponvu kinachotarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Mei, 2020.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akikagua...
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Halmashauri ya wilaya ya Songea yawaalika wawekezaji kutatua changamoto ya ukosefu wa umeme
Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Katani LTD cha Hale, Tanga, Salum Shamte.
Na Nathan Mtega wa demashonews, Songea.
Katika kukabiliana na changamoto uya kosefu wa umeme wa uhakika mkoani Ruvuma na Njombe halamashari ya wilaya ya Songea imeanza kukabiliana na changaotyo hiyo kwa kuwaalika wawekezezaji mbali mbali wakiwemo wa sekta hiyo ya nishati ili kutumia fursa zilizopo kutatua changamoto hiyo.
Akizungumza kwa niaba ya wawekezaji wengine katika kikao hicho cha ushauri wa maendeleo cha...
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Zaidi ya visima 19,000 vyashindwa kutoa maji kwa ukosefu wa umeme
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Umeme ni shida, Uchunguzi wabaini mikoa mingi iko kwenye hali tete
5 years ago
MichuziDODOMA ITAKUWA NA UMEME MWINGI KUPITA MIKOA YOTE NCHINI – WAZIRI KALEMANI
Serikali kupitia Wizara ya Nishati, inakamilisha mradi mkubwa wa upanuzi wa kituo cha kupoza umeme kilichopo Zuzu Dodoma, ambacho baada ya kukamilika kitakuwa na uwezo wa megawati zaidi ya 600, hivyo kuongoza Tanzania nzima kwa wingi wa umeme.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, Februari 19, 2020 alipofanya ziara katika kituo hicho kujionea maendeleo ya utekelezaji wa mradi husika.
Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri amebainisha kuwa, kwa...
9 years ago
StarTV12 Nov
Tanesco yasema kukatika kwa umeme kwa baadhi ya mikoa yatokana na hitilafu.
Shirika la umeme tanesco lamesema kukatika kwa umeme katika baadhi ya mikoa nchini kumesababishwa na hitilafu katika kituo kidogo cha kupoozea umeme wa gridi ya taifa kilichoko mkoani singida
Meneja wa tanseco mkoa wa singida gamba mahugila amesema hitilafu hiyo imetokea leo asubuhi na kusababisha kukatika kwa umeme katika mikoa ya singida, tabora, mwanza, mara, manyara, geita na sehemu ya mkoa wa arusha
Amesema tayari mafundi wa tanesco wanaendelea na matengenezo yaliyoanza saa tano asubuhi...
11 years ago
Habarileo13 Jan
Watu wasiojulikana wahujumu gridi ya Taifa
WATU wasiojulikana wilayani Kahama, wameangusha nguzo mbili kubwa za chuma zinazosafirisha umeme wa gridi ya Taifa na kuchukua baadhi ya vyuma. Hali hiyo imesababisha maeneo kadhaa mikoa ya Mwanza, Geita na Shinyanga kukosa umeme.