Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zaidi ya visima 19,000 vyashindwa kutoa maji kwa ukosefu wa umeme

Deni la Sh13.5 bilioni limesababisha zaidi ya visima 19,000 kutotoa maji kutokana na kukosa umeme na kuathiri zaidi ya wananchi milioni nne.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Vyama 10 vyashindwa kutoa taarifa kwa CAG

VYAMA 10 vya siasa kati ya 21 vyenye usajili wa kudumu, vimeshindwa kuwasilisha hesabu zao za vyama kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa ajili ya ukaguzi. Kati ya hivyo, vyama 11 havikuwasilisha taarifa zao huku vinne vilivyokaguliwa havina akaunti ya benki.

 

11 years ago

Mwananchi

Dar hatarini kwa unga wa lishe, visima vya maji

>Visima vingi vya maji vilivyochimbwa jijini Dar es Salaam na unga wa lishe kwa watoto umeelezwa kutokuwa salama kwa afya za watumiaji, kulingana na utafiti uliofanywa hivi karibuni na Ofisi ya Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA).

 

5 years ago

BBCSwahili

Rusty Hutson: Mwanamume aliyekuwa milionea kwa kununua visima 60,000 vya mafuta na gesi

Rusty Hutson Jr ni mkuu wa shirika la kawi la Marekani linalokuwa kwa kasi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Usafishaji visima wachangia uhaba wa umeme’

SHIRIKA la Umeme Nchini (TANESCO), limesema tatizo la kukosekana kwa huduma ya umeme kwa baadhi ya maeneo kulikojitokeza wiki iliyopita kulisababishwa na usafishaji wa visima vya gesi ya Songosongo. Akizungumza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wenje adai visima havitoi maji

MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amesema kuwa mradi wa uchimbaji wa visima vya maji kumi kila kijiji umekwama kwa asilimia 80 na hali hiyo inatokana na ufisadi mkubwa katika...

 

11 years ago

Habarileo

‘Miradi ya umeme kwa maji kutoanzishwa’

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema serikali haitaanzisha miradi ya kufua umeme kwa njia ya maji nchini kutokana na nchi kukumbwa na ukame unaotokana na mabadiliko ya tabia nchi.

 

9 years ago

StarTV

Visima vya maji Iringa vyatajwa kusababisha vifo

 Kukithiri kwa visima vya maji katika eneo la Changalawe mjini Mafinga wilayani Mufindi mkoani Iringa kumetajwa kusababisha vifo visivyo vya lazima kwa wananchi kutokana na eneo hilo kutokuwa na huduma ya maji ya bomba.

Umuhimu wa huduma ya maji unawalazimu wakazi wa Changalawe kubuni njia mbadala ya kupata maji jirani kwa kuchimba visima nje ya nyumba zao jambo ambalo limetajwa kuhatarisha maisha mara kwa mara.

Baadhi ya visima hivyo vinaurefu zaidi ya futi 15 kwenda chini, jambo ambalo ni...

 

11 years ago

Michuzi

MH. MAKALLA AKAGUA MIRADI YA VISIMA VYA MAJI MKURANGA

 Naibu Waziri wa Maji,Mh.  Amos Makalla (kulia), akipata maelezo kutoka kwa kiongozi wa Mafundi wa Kampuni ya CDM Smith, John Donoherth, kuhusu ujenzi wa kisima kilichopo Mkwalia Mkuranga ambacho ni moja kati ya visima 8 vinavyofanyiwa utafiti maji wilayani humo. Makalla alifanya ziara ya kukagua miradi ya maji wilayani Mkuranga mkoani Pwani leo. Pia alikagua mradi wa  kisima cha maji cha Nyamato chenye uwezo wa kutoa maji lita 26,000 kwa saa kitakachohudumia wakazi wa vijiji vya  Mvuleni,...

 

9 years ago

Habarileo

Ukosefu wa umeme kukumba mikoa ya Gridi

BAADA ya kufika kwa gesi asilia jijini Dar es Salaam ikitokea Mtwara, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), itaingiza gesi hiyo katika mitambo yote ya umeme nchini, hivyo kuanzia leo kutakuwa na ukosefu wa umeme katika mikoa yote inayotumia Gridi ya Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani