‘Usafishaji visima wachangia uhaba wa umeme’
SHIRIKA la Umeme Nchini (TANESCO), limesema tatizo la kukosekana kwa huduma ya umeme kwa baadhi ya maeneo kulikojitokeza wiki iliyopita kulisababishwa na usafishaji wa visima vya gesi ya Songosongo. Akizungumza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Zaidi ya visima 19,000 vyashindwa kutoa maji kwa ukosefu wa umeme
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oMDmUBur960/U5bDOLlTr8I/AAAAAAAFpfk/Mj2saXVyPEg/s72-c/image011.jpg)
INDIA YAKABIDHI MASHINE YA USAFISHAJI DAMU MUHIMBILI
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-35hDsgsQkZ4/U6BuM07ztLI/AAAAAAABLoE/GHFyuMo_AvQ/s72-c/PIC+1.png)
Shoti ya Umeme yasababisha Kukosekana Umeme Baadhi ya Maeneo Zanzibar leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-35hDsgsQkZ4/U6BuM07ztLI/AAAAAAABLoE/GHFyuMo_AvQ/s1600/PIC+1.png)
![](http://1.bp.blogspot.com/-wLPALSA0wcA/U6BuRrBeKjI/AAAAAAABLoU/Xq2PEvJf09w/s1600/PIC+4.png)
![](http://4.bp.blogspot.com/-bXlBlTHSs-A/U6BuXprjHcI/AAAAAAABLok/Owounfiqwn8/s1600/PIC+7.png)
Kuamkia alfajiri ya leo ya tarehe 17/06/2014 maeneo yate ya mji wa Unguja na maeneo jirani ya mji wa Unguja yalikumbwa na ukosefu wa umeme uliotokea kuanzia majira ya saa 11 asubuhi hadi saa 7 mchana...
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Abood apongezwa kuchimba visima
WANANCHI mkoani Morogoro wamempongeza Mbunge wao, Aziz Abood, kwa jitihada mbalimbali anazofanya ikiwemo kuhakikisha huduma ya maji inapatikana katika maeneo mbalimbali. Wakizungumza na Tanzania Daima jana, wananchi hao walisema tatizo...
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
TBL yakabidhi visima 20 Misungwi
WAKAZI wilayani Misungwi, Mwanza wameondokana na kero ya maji baada ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kukarabati visima 20. Visima hivyo vilizinduliwa mwishoni mwa wiki na Waziri wa Maji, Profesa...
9 years ago
Vijimambo16 Sep
Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Tanesco-16Sept2015.png)
Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.
Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...
10 years ago
Habarileo06 Feb
Visima vitano vyachimbwa jimbo la Makunduchi
VISIMA 5 vimechimbwa na kuanza kuzalisha majisafi na salama katika jimbo la Makunduchi na hivyo kuondoa tatizo la muda mrefu la ukosefu wa huduma hiyo.
10 years ago
Habarileo09 Feb
Kigoma wafunga visima kudhibiti kipindupindu
WAKATI ikielezwa kuwa ugonjwa wa kipindupindu bado unaendelea kuwasumbua wakazi wa mkoa Kigoma, kwa kuendelea kuwepo kwa wagonjwa wapya serikali imeanza kuchukua hatua kukabiliana na hali hiyo, ikiwemo kuvifunga baadhi ya visima vilivyokuwa vikitumiwa na wananchi kwa maji ya majumbani.