Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Visima vitano vyachimbwa jimbo la Makunduchi

Haroun Ali SuleimanVISIMA 5 vimechimbwa na kuanza kuzalisha majisafi na salama katika jimbo la Makunduchi na hivyo kuondoa tatizo la muda mrefu la ukosefu wa huduma hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA MICHEZO JIMBO LA MAKUNDUCHI, UNGUJA

 MWAKILISHI WA JIMBO LA MAKUNDUCHI MH. HAROUN ALI SULEIMAN AKIFUNGUA TAMASHA HILO HUKO KOBA MAKUNDUCHI.
 MSHINDI WA KWANZA MBIO ZA BAISKELI  ABDALLAH ABOUBAKAR


 MHE. HAROUN AKIZINDUA RESI ZA NGALAWA KIGAENI MAKUNDUCHI
 MASHINDANO YA KUOGELEA KIGAENI MITA 100. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

DKT.SHEIN, DKT. BILAL WAONGOZA MAZISHI YA MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI SALMIN AWADHI SALMIN, MAKUNDUCHI ZANZIBAR

Baadhi ya Viongozi wa juu wa Serikali, wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria maziko ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar, marehemu Salmin Awadh Salmin, huko Makunduchi mjini Zanzibar. Marehemu Salmin amezikwa leo Feb, 20, 2015 kijijini kwake Makunduchi Zanzibar.Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, akiweka udongo katika kaburi la marehemu Salmin Awadh Salmin, wakati wa shughuli za maziko yake zilizofanyika katika kijiji cha Makunduchi mjini Zanzibar jana Feb, 2015.

 

10 years ago

TheCitizen

Salmin buried at Makunduchi

A Member of the House of Representatives for Magomeni Constituency (CCM), Mr Salmin Awadhi Salmin, who died abruptly, while attending a Chama Cha Mapinduzi (CCM) meeting on Thursday, was buried at his home Village Makunduchi, in the southern tip of Unguja, yesterday.

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFUNGUA MSIKITI WA MAKUNDUCHI,ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuufungua Msikiti Mpya wa Kijiji cha Kiongoni Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja na kuanza rasmi shuhuli za Ibada (kulia) Mkuu wa Mkoa Kusini Dk.Idriss Muslim Hijja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kushoto) pamoja na Mashekhe na Viongozi na Waislamu mbali mbali wakiitikia dua iliyoombwa baada ya Swala ya Dhuhuri iliyoongozwa na Kadhi Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

Ujumbe wa Walimu kutoka Kiruna Sweden Wakiwa Makunduchi

Ndugu Moh'd Simba wa pili kushoto akizungumza wakati wa kukabidhi baiskeli 18 kwa walimu kutoka Kiruna Sweden. Sherehe ya kukabidhi baiskeli hizo ilifanyika Skuli ya Makunduchi na kuhudhuriwa na wanakijiji. Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo ni ndugu Mwita Masemo, mwenyekiti wa Kamati ya wadi za Makunduchi ambayo imeanzisha uhusiano na Manispaa ya Kiruna. Chini ya mashirikiano wanawake wa Makunduchi watafundishwa ujasiriamali, kiingereza, kompyuta na demokrasia.Miongoni mwa wazee waliohudhuria...

 

10 years ago

Michuzi

balozi seif azinduwa msikiti wa Kijiji cha Tasani Makunduchi

Wanazuoni, Masheikh na wazee wote nchini wana wajibu mkubwa wa kuisaidia Serikali Kuu katika jitihada zake za kukuza elimu, kujenga jamii iliyo bora, kulinda amani pamoja na kukataza maovu vikiwemo vitendo vya unyanyasaji na udhalilishaji wa kijinsia. Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al – hajj Dr. Ali Mohamed Shein wakati akiufunguwa msikiti wa Kijiji cha Tasani Makunduchi unaokadiriwa kusaliwa na waumini wapatao 200 kwa wakati mmoja wa sala. Dr....

 

9 years ago

Mwananchi

Vyama vitano taabani

Wakati CCM, Chadema na ACT- Wazalendo vikisema vitajitahidi kubana matumizi ya shughuli za Uchaguzi Mkuu yasivuke kiwango cha Sh17 bilioni kilichowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, vyama vingine vitano vinalia ukata.

 

9 years ago

Mwananchi

Vikwazo vitano safari za nje

Agizo la Rais John Magufuli la kusitisha safari za nje linakabiliwa na ugumu katika utekelezaji wake kutokana na nchi kuwa na balozi 36 tu ambazo zitatakiwa kufanya kazi maeneo mbalimbali duniani.

 

9 years ago

Habarileo

Vyama vitano vyaahidi viwanda

VYAMA vitano vya siasa nchini vinavyoshiriki katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu vimeelekeza nguvu katika uchumi wa viwanda na udhibiti wa matumizi ya Dola ya Marekani katika kukuza pato la Taifa ikiwa watapewa ridhaa ya kuongoza nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani