Ujumbe wa Walimu kutoka Kiruna Sweden Wakiwa Makunduchi
![](http://2.bp.blogspot.com/-a3zz-vUpnzE/VLKTPrSAK-I/AAAAAAABhnU/mnPsYFEiBso/s72-c/111.jpg)
Ndugu Moh'd Simba wa pili kushoto akizungumza wakati wa kukabidhi baiskeli 18 kwa walimu kutoka Kiruna Sweden. Sherehe ya kukabidhi baiskeli hizo ilifanyika Skuli ya Makunduchi na kuhudhuriwa na wanakijiji. Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo ni ndugu Mwita Masemo, mwenyekiti wa Kamati ya wadi za Makunduchi ambayo imeanzisha uhusiano na Manispaa ya Kiruna. Chini ya mashirikiano wanawake wa Makunduchi watafundishwa ujasiriamali, kiingereza, kompyuta na demokrasia.
Miongoni mwa wazee waliohudhuria...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-D9nkOYmUZWc/U-Gv2ZjaItI/AAAAAAAF9do/tzioY02699Q/s72-c/20140805_115440.jpg)
mkuu wa majeshi jenerali Davis Mwamunyange na ujumbe wake wakiwa Dubai
![](http://2.bp.blogspot.com/-D9nkOYmUZWc/U-Gv2ZjaItI/AAAAAAAF9do/tzioY02699Q/s1600/20140805_115440.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-dh5eteQFvek/U-Gv2R3OlJI/AAAAAAAF9dk/6UjmIng_TJM/s1600/20140805_115447.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Nagu avutia uwekezaji, biashara kutoka Sweden
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagvu, amesema ujio wa Malkia Mtarajiwa Princess Victoria wa Sweden utasaidia kuitangaza Tanzania kwa wafanyabiashara wa nchi...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2eziVztQsew/U3S5X-KjmaI/AAAAAAAFh34/LuO0eG6m9vU/s72-c/unnamed+(13).jpg)
Tanzania Yapokea Msaada wa sh .Bilion 151 kutoka Sweden
![](http://1.bp.blogspot.com/-2eziVztQsew/U3S5X-KjmaI/AAAAAAAFh34/LuO0eG6m9vU/s1600/unnamed+(13).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-n1o5I5wslUc/U3S5bZRwYqI/AAAAAAAFh4A/wQozo5mLhuw/s1600/unnamed+(14).jpg)
11 years ago
Michuzi29 Jul
10 years ago
GPLKONGAMANO LA KIMATAIFA LA WATOTO NA VIJANA WENYE ULEMAVU KUTOKA NCHI TATU, TANZANIA, RWANDA NA SWEDEN
10 years ago
Vijimambo24 Jul
RAIS JAKAYA KIKWETE AAGANA NA MABALOZI KUTOKA INDIA, UBELGIJI NA SWEDEN WALIOMALIZA MUDA WAO WA KAZI NCHINI
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/178.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi wa India anayemaliza muda wake Mhe.Debnath Shaw wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo ameagana na mabalozi watatu wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania baada ya kumaliza muda wao wa kazi . Mabalozi walioagana na Rais leo ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Mhe.Debnath Shaw wa India,Balozi Koenraad Adam wa Ubelgiji na balozi Lennarth Hjelmaker wa Sweden.
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/269.jpg)
11 years ago
GPLUJUMBE MAALUM KUTOKA KWA SHIGONGO
9 years ago
Dewji Blog24 Oct
Video ya Ujumbe wa Amani kutoka LHRC
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeendeleza dhamira yake ya kujenga jamii inayozingatia Haki na Usawa kwa kutoa ujumbe wa dakika moja unaohimiza Amani kwa watanzania katika kipindi hiki cha uchaguzi.
Tazama video ya ujumbe huo hapa upate kuhamasika na kushiriki na Watanzania wengine wapenda Amani.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-alBf1kVFN2U/U3WVV46rdkI/AAAAAAAFiDg/O3BRHyvCsC4/s72-c/10.jpg)