Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vikwazo vitano safari za nje

Agizo la Rais John Magufuli la kusitisha safari za nje linakabiliwa na ugumu katika utekelezaji wake kutokana na nchi kuwa na balozi 36 tu ambazo zitatakiwa kufanya kazi maeneo mbalimbali duniani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Vikwazo vipya safari ya matumaini

>Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana alichukua fomu za kuomba ridhaa ya Chadema kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano, lakini anakabiliana na vikwazo vinne kabla hajafanikiwa kuongoza upinzani kutwaa madaraka kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi.

 

10 years ago

Dewji Blog

EXCLUSIVE: “Serikali yafuta vikwazo vyote kwa Madereva Nchini..magari yaanza safari muda huu

waziri KabakaWaziri wa Kazi na Ajira nchini, Gaudensia Kabaka akiongea na madereva kwa kutumia kipaza sauti mapema mchana huu na kufuta baadhi ya vikwazo walivyokuwa wakivipinga madereva.

..Mgomo wadumu masaa 9..abiria waonja shubiri ya mabomu ya machozi ..Kamanda Kova, Waziri Kabaka ‘Mashujaa’ wamaliza mgomo ‘kiana’ Madereva wawasubiri Aprili 18

Andrew Chale wa Modewji blog

Hali ya mambo katika ‘segere’ la Madereva Nchini la kuweka mgomo baridi la kutoingia barabarani hadi hapo madai yao ya msingi...

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Naiona safari ya CCM nje ya Ikulu

Posted on October 24, 2015 Na Enzi T. Aboud KISHINDO cha mabadiliko kimekuwa kama wingu kubwa na pana linalowasogeza pamoja wataka mabadiliko na kuvifanya vyama viwili vikubwa Zanzibar vya CCM na CUF vyenye ushindani kutikisa siasa […]

The post Naiona safari ya CCM nje ya Ikulu appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Kenyatta gumzo kwa safari za nje

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameingia katika mjadala mzito wa wananchi wa  kutokana na mfululizo wa ziara zake anazofanya nje ya nchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Safari za nje zingejenga kilomita 400

Rais John Magufuli amesisitiza uamuzi wake wa kuzifuta safari za nje kwa watendaji wa Serikali akisema ni mzigo kwa Taifa.

 

9 years ago

Raia Mwema

Suala si safari za nje tu, bali wanasafiri vipi?

JUNI 2011 nilipata kusafiri daraja moja na Balozi wa nchi ya Sweden.

Maggid Mjengwa

 

9 years ago

Mtanzania

Wizara ya Afya yaitisha ‘roll call’ ya safari za nje

Dk.Donan-MmbandoNA MAULI MUYENJWA, DAR ES SALAAM

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewaagiza wakuu wa vitengo vya wizara hiyo kuwasilisha taarifa za watumishi wake wote waliofanya safari za nje ya nchi baada ya katazo la Rais John Magufuli.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Donan Mmbando, ametoa siku tatu kwa wakuu hao wa idara kumfikishia taarifa hizo ofisini kwake na kuonya kwamba yeyote atakayethubutu kuficha ukweli atachukuliwa...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YATOA UFAFANUZI WA Safari za Rais Kikwete Nje ya Nchi


Wizara imesikitishwa na taarifa za uongo zilitolewa katika vyombo vya habari kuwa Mhe. Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uongozi wake wa miaka 10 ametumia Shilingi trilioni 4 kwa ajili ya safari za kikazi nje ya nchi, ambazo ni wastani wa bajeti nzima ya wizara kwa miaka mitano (5).Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kutoa ufafanuzi kuwa tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aingie madarakani mwaka 2005,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani