Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli: Safari za nje zingejenga kilomita 400

Rais John Magufuli amesisitiza uamuzi wake wa kuzifuta safari za nje kwa watendaji wa Serikali akisema ni mzigo kwa Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Magufuli afuta safari zote za nje ya nchi kuanzia leo

Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli amefuta safari zote za nje ya nchi kuanzia leo hadi hapo maamuzi mengine yatakapotolewa.

 

9 years ago

Michuzi

Maagizo ya Rais Magufuli kuhusu safari za nje za watendaji wa Serikali yaanza kutekelezwa

Kufuatia maagizo ya Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoyatoa hivi karibuni ya kusitisha safari za nje kwa Wizara, Idara na Taasisi za Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imeanza kutekeleza maagizo hayo kwa kutoa maelekezo mahsusi kwa Balozi zake nje.
Wizara imezielekeza Balozi zote zilizopo maeneo mbalimbali duniani kujipanga ili kushiriki kikamilifu katika kuiwakilisha Serikali kwenye mikutano yote ya kimataifa na kikanda...

 

9 years ago

MillardAyo

Ndio kusema Rais wa Ghana kaiga kasi ya Rais Magufuli ??!! cheki alivyoanza kubana safari za nje..

Kama ni mfatiliaji wa masuala ya kila kinachoendelea kwenye headlines kubwa kutoka Tanzania zilizofanikiwa kuteka zaidi siku chache zilizopita, ni ishu ya kasi ya Rais Magufuli kwenye utendaji wake huku akisisitiza kubana matumizi ya Serikali. Kwenye kubana matumizi kwa sasa Rais Magufuli aliagiza pia kuzuia safari za viongozi nje ya nchi… Rais wa Ghana pia […]

The post Ndio kusema Rais wa Ghana kaiga kasi ya Rais Magufuli ??!! cheki alivyoanza kubana safari za nje.. appeared first on...

 

9 years ago

Mwananchi

Vikwazo vitano safari za nje

Agizo la Rais John Magufuli la kusitisha safari za nje linakabiliwa na ugumu katika utekelezaji wake kutokana na nchi kuwa na balozi 36 tu ambazo zitatakiwa kufanya kazi maeneo mbalimbali duniani.

 

9 years ago

Mwananchi

Kenyatta gumzo kwa safari za nje

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameingia katika mjadala mzito wa wananchi wa  kutokana na mfululizo wa ziara zake anazofanya nje ya nchi.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Naiona safari ya CCM nje ya Ikulu

Posted on October 24, 2015 Na Enzi T. Aboud KISHINDO cha mabadiliko kimekuwa kama wingu kubwa na pana linalowasogeza pamoja wataka mabadiliko na kuvifanya vyama viwili vikubwa Zanzibar vya CCM na CUF vyenye ushindani kutikisa siasa […]

The post Naiona safari ya CCM nje ya Ikulu appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Raia Mwema

Suala si safari za nje tu, bali wanasafiri vipi?

JUNI 2011 nilipata kusafiri daraja moja na Balozi wa nchi ya Sweden.

Maggid Mjengwa

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AISAMABARATISHA CHADEMA KATA YA ILYAMCHELE WILAYA YA CHATO, 400 WAHAMIA CCM

Waziri wa Ujenzi  Dkt John Pombe Magufuli leo amekivuruga Chama cha CHADEMA Kata ya Ilyamchele Wilaya ya Chato inayoongozwa na Diwani wa CHADEMA. Akiwa katika mkutano wa kawaida wa kichama ameweza kusomba wanachama 400 wa CAHDEMA ambapo kadi za CCM ziliisha ikabidi wanachama wengine wapya wasubiri kadi zingine zitakazoletwa kesho. Dkt John Pombe Magufuli akigawa kadi za CCM kwa waliokuwa wana CHADEMA Mamia ya wananchi waliojitokeza kumuona Dkt John Pombe Magufuli Dkt John Pombe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani