MAGUFULI AISAMABARATISHA CHADEMA KATA YA ILYAMCHELE WILAYA YA CHATO, 400 WAHAMIA CCM
![](http://4.bp.blogspot.com/-_52yfYTpyGI/U7G7YnafGZI/AAAAAAAFt0A/9ArfqUwIqYo/s72-c/unnamed+(1).jpg)
Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli leo amekivuruga Chama cha CHADEMA Kata ya Ilyamchele Wilaya ya Chato inayoongozwa na Diwani wa CHADEMA. Akiwa katika mkutano wa kawaida wa kichama ameweza kusomba wanachama 400 wa CAHDEMA ambapo kadi za CCM ziliisha ikabidi wanachama wengine wapya wasubiri kadi zingine zitakazoletwa kesho.
Dkt John Pombe Magufuli akigawa kadi za CCM kwa waliokuwa wana CHADEMA
Mamia ya wananchi waliojitokeza kumuona Dkt John Pombe Magufuli
Dkt John Pombe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-ukNw3QKRXiY/VfvtSzDeWdI/AAAAAAABVU8/F-LcUeczpf0/s72-c/12038431_785458398231803_3528898794948630829_n.png)
VIONGOZI WOTE WA CCM WA KATA YA MKOMAZI NA WAPIGA KURA 1,400 WA CCM WAHAMIA CHADEMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-ukNw3QKRXiY/VfvtSzDeWdI/AAAAAAABVU8/F-LcUeczpf0/s640/12038431_785458398231803_3528898794948630829_n.png)
11 years ago
MichuziMWENYEKITI WA VIJANA CHADEMA NA VIJANA MIA MOJA KATA YA ORTURUMENTI WILAYA YA ARUMERU WAHAMIA CCM
Na Woinde Shizza,Arusha
Jumla ya wananchi 100 wa kata ya Ortumunti wilayani Arumeru kutoka katika vyama mbalimbali vya upinzani wamehamia chama cha Mapinduzi akiwemo...
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Wanachama CCM wahamia Chadema
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Madiwani wawili Chadema wahamia CCM
9 years ago
StarTV09 Oct
Zaidi ya wanachama 900 wa CHADEMA wahamia CCM
Zaidi ya wanachama 900 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wengi wao wakiwa vijana wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM katika Jimbo la Sengerema mkoani Mwanza.
Maamuzi ya wanachama hao yametokana na kampeni za kunadi sera ya CCM zinazoendelea katika Jimbo hilo ambazo zinafanywa na mgombea ubunge na madiwani.
Mmoja kati ya vijana ambao wamekihama Chama cha CHADEMA na kujiunga na CCM, akielezea sababu za kukihama chama hicho katika mkutano wa kampeni ambao...
11 years ago
MichuziMh. Magufuli akutana na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato
Mbunge wa jimbo la Chato na waziri wa Ujenzi Mhe. Dk. John Pombe Magufuli leo amekutana na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwenye ukumbi wa Halamshauri na kutoa zaidi ya Shilingi Milioni 80 za mfuko wa Jimbo kwa kila kata kwa style mpya ambapo kila diwani ametaja mahitaji yake na kupewa kiasi hicho kwa ajili ya kukamilisha miradi yenye nguvu za wa wananchi.
Tofauti na miaka mingine ambapo fedha hizo zimekuwa zikitolewa na kamati maalumu...
10 years ago
Vijimambo16 Nov
WANACHAMA CHADEMA KALENGA MKOANI IRINGA WAHAMIA CCM
10 years ago
VijimamboMWALIMU "AIBOMOA" CCM SINGIDA, WANACHAMA LUKUKI WAHAMIA CHADEMA
10 years ago
Dewji Blog22 Sep
Kijana UVCCM atangaza nia ya kuwania Udiwani kata ya Ilunda, lengo ni kurejesha kata CCM, inayongozwa na Chadema
Kijana Mohamed Embele (38) ambaye ametangaza nia ya kurejesha Kata ya Ilunda (CCM), hivi sasa Kata hiyo inaongozwa na Diwani wa CHADEMA Long’ida Ole Looda.
Na Hillary Shoo, Mkalama
KAMANDA wa UVCCM wa Kata ya Ilunda Tarafa ya Nduguti Wilayani Mkalama Mkoani Singida, Mohamed Embele (38) ametangaza rasmi nia yake ya kutaka kugombea nafasi ya Udiwani kwenye Kata hiyo katika uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2015.
Akizungumza katika mahojiano maalumu wakati wa kufunga kambi ya vijana wa Wilaya ya...