Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

Vyama 10 vyashindwa kutoa taarifa kwa CAG

VYAMA 10 vya siasa kati ya 21 vyenye usajili wa kudumu, vimeshindwa kuwasilisha hesabu zao za vyama kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa ajili ya ukaguzi. Kati ya hivyo, vyama 11 havikuwasilisha taarifa zao huku vinne vilivyokaguliwa havina akaunti ya benki.

habarileo

Read more

Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Zaidi ya visima 19,000 vyashindwa kutoa maji kwa ukosefu wa umeme

Deni la Sh13.5 bilioni limesababisha zaidi ya visima 19,000 kutotoa maji kutokana na kukosa umeme na kuathiri zaidi ya wananchi milioni nne.

10 years ago

Habarileo

CAG: Taarifa za ukaguzi ziripotiwe kwa uangalifu

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Juma AssadMDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Juma Asaad ametoa wito kwa asasi za kiraia pamoja na vyombo vya habari nchini kupitia kwa umakini na uangalifu taarifa za ukaguzi wa hesabu zinazotolewa na ofisi hiyo ili kuepusha upotoshaji wakati wa kuelimisha jamii.

11 years ago

Habarileo

CUF wawasilisha taarifa za hesabu kwa CAG

BARAZA Kuu la Chama cha Wananchi CUF, limesema chama hicho kimeandaa na kuwasilisha taarifa za fedha za chama hicho na kuziwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serika (CAG).

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:BBC kutoa taarifa kwa 'WhatsApp'

BBC imezindua huduma mpya ya kitekonolojia inayotoa taarifa kuhusu ugonjwa wa Ebola kwa umma kupitia kwa WhatsApp'.

5 years ago

Michuzi

RAIS, DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA CAG YA 2018/2019, APOKEA TAARIFA YA PCCB IKULU YA CHAMWINO LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mwaka 2018-2019 kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 26/03/2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisoma Muhtasari wa Taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya Mwaka 2018-2019 iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere...

5 years ago

CCM Blog

Vijimambo

CAG abaini dosari ruzuku vyama vyote

Mkaguzi Mkuu Msaidizi kutoka Ofisi ya CAG,Benja Majura.
Hesabu za mapato na matumizi ya fedha za ruzuku zilizotolewa na serikali kwa vyama vya siasa nchini, ikiwamo CCM, Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, kati ya mwaka 2009 na 2013 zimegubikwa na dosari na hivyo kusababisha baadhi kupata hati yenye shaka na vingine hati mbaya kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Vyama vilivyopata hati zenye shaka kufuatia ukaguzi wa hesabu zake uliofanywa na CAG ni CCM, Chadema,...

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani