CAG abaini dosari ruzuku vyama vyote
Mkaguzi Mkuu Msaidizi kutoka Ofisi ya CAG,Benja Majura.
Hesabu za mapato na matumizi ya fedha za ruzuku zilizotolewa na serikali kwa vyama vya siasa nchini, ikiwamo CCM, Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, kati ya mwaka 2009 na 2013 zimegubikwa na dosari na hivyo kusababisha baadhi kupata hati yenye shaka na vingine hati mbaya kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Vyama vilivyopata hati zenye shaka kufuatia ukaguzi wa hesabu zake uliofanywa na CAG ni CCM, Chadema,...
Vijimambo