ACT: Sera yetu itavifunika vyama vyote vya upinzani
Chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimejinadi kwa kutangaza sera zake, kuwa ni pamoja na uadilifu katika maisha binafsi na kwenye jamii kwa viongozi na wanachama kwa jumla.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 Dec
Wasira: Vyama vya upinzani nchini ni vyama vya matukio
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen Wasira amewaambia wananchi wa Tarime katika kampeni za CCM kuhitimisha mikutano ya Serikali za Mitaa mwishoni mwa wiki kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya matukio.
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Vyama vyote vya siasa ni sawa- Jaji Mutungi
9 years ago
Dewji Blog12 Oct
Msajili wa Vyama vya Siasa: Mrisho Mpoto na Christina Shusho kuwa mabalozi wa kubeba ujumbe wetu wa amani wa “AMANI YETU FAHARI YETU”
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mapema leo Oktoba 12 juu ya kuhamasisha Amani pamoja na kuwatangaza rasmi wasanii Mrisho Mpoto (kulia) na Christine Shusho (kushoto) kuwa mabalozi wa amani wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, huku wakibeba ujumbe wa “AMANI YETU FAHARI YETU”. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).
Picha tatu za Jaji Mutungi zikionyesha msisitizo wa suala la Amani...
5 years ago
CHADEMA Blog13 Feb
Tamko la Vyama vya Siasa vya Upinzani Vilivyokutana Zanzibar tarehe 16 -18 Desemba, 2018 KUTAFAKARI Khatima ya Demokrasia Nchini Tanzania.
11 years ago
BBCSwahili28 Jan
Vyama vya upinzani vyaungana A.Kusini
10 years ago
Mwananchi27 May
UCHAMBUZI: Vyama vya upinzani vikosoe na kusifu ikibidi
9 years ago
StarTV17 Sep
Mgombea Urais adai vyama vya upinzani havitendewi haki
Mgombea Urais kupitia Chama cha Tanzania Labour TLP Macmillan Lyimo ameitupia lawama Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa haiwatendei haki baadhi ya wagombea urais kupitia vyama vya upinzani kwa kutowapa Fedha za ruzuku.
Akizungumza na waandishi wa habari Mgombea Urais TLP Macmillan Lyimo amesema wamekuwa wakibaguliwa licha ya mataifa ya nje kutoa fedha za kusaidia uchaguzi nchini wakati Tume za Uchaguzi za Afrika Mashariki isipokuwa Tanzania zikiwawezesha wagombea wote kwa usawa.
Mgombea huyo...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-FHZX1tvviJU/U1PUsmuEchI/AAAAAAAFcCw/l_r8IAgxmv0/s72-c/unnamed+(68).jpg)
Barua ya wazi kwa wabunge na vyama vyote vya siasa na viongozi wote na kwa umma wa Tanzania.
![](http://3.bp.blogspot.com/-FHZX1tvviJU/U1PUsmuEchI/AAAAAAAFcCw/l_r8IAgxmv0/s1600/unnamed+(68).jpg)
Bwana michuzi wazungu wanasema damu ni nzito kuliko maji...
9 years ago
StarTV14 Sep
Wananchi wahimizwa kusikiliza sera za vyama vya siasa na kuacha ushabiki
Wananchi wametakiwa kuacha ushabiki wa vyama na badala yake wajitokeze kusikiliza sera za vyama mbalimbali vya siasa nchini ili waweze kuchagua kiongozi kutokana na sera zitakazowaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Hayo yamebainishwa na mgombea ubunge jimbo la Buchosa kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Marco Manyilizu wakati wa kunadai sera za chama hicho kwa wananchi wa Kata ya Nyehunge wilayani Sengerema.
Akizungumza katika mkutano wa kampeni mgombea huyo amesema kuwa...