Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasira: Vyama vya upinzani nchini ni vyama vya matukio

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen WasiraWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen Wasira amewaambia wananchi wa Tarime katika kampeni za CCM kuhitimisha mikutano ya Serikali za Mitaa mwishoni mwa wiki kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya matukio.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CHADEMA Blog

Tamko la Vyama vya Siasa vya Upinzani Vilivyokutana Zanzibar tarehe 16 -18 Desemba, 2018 KUTAFAKARI Khatima ya Demokrasia Nchini Tanzania.

Taarifa kwa Wanahabari Juu ya AZIMIO LA ZANZIBAR Tamko la Vyama vya Siasa vya Upinzani Vilivyokutana Zanzibar tarehe 16 -18 Desemba, 2018 KUTAFAKARI Khatima ya Demokrasia Nchini Tanzania. SISI, Viongozi na Wanachama waandamizi wa Vyama vyetu sita vilivyosaini tamko hili, tumekutana hapa Zanzibar Disemba 16 – 18 kufanya tafakuri na kujadili juu ya dira yetu kama Taifa. Mkutano huu maalum wa

 

11 years ago

Michuzi

VYAMA vya upinzani bado vina safari ndefu kufikia ukongwe na mafanikio ya Chama cha Mapunduzi nchini-Angellah Kairuki.

 "Miaka michache tu wanajigamba, wanapiga kelele, lakini pia kwa kipindi hicho kifupi tayari wameanza mifarakano,Wafanye kazi kubwa kutufikia,"alisema Angellah Kairuki ambaye ni  Mjumbe Baraza la Taifa la Umoja wa Wanawake (UWT), Angellah Kairuki.
Angellah ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, aliyasema hayo wakati akizungumza katika sherehe za kuadhimisha miaka 37, ya Chama cha Mapinduzi,  zilizoandaliwa na UWT, kata ya Mabwepande, Kinondoni Dar es Salaam.
Alisifu kwamba hadi...

 

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Vyama vya upinzani vyaungana A.Kusini

Chama rasmi cha upinzani nchini Afrika Kusini,(Democratic Alliance) kimemtangaza Dr Mamphela Ramphele kuwa mgombea wake katika uchaguzi mkuu mwezi Aprili.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Vyama vya upinzani vikosoe na kusifu ikibidi

>Siasa ni dhana pana inayoakisi utaratibu na mwenendo wa jumla wa maisha ya mwanadamu katika jamii inayomzunguka.

 

11 years ago

Mwananchi

ACT: Sera yetu itavifunika vyama vyote vya upinzani

Chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimejinadi kwa kutangaza sera zake, kuwa ni pamoja na uadilifu katika maisha binafsi na kwenye jamii kwa viongozi na wanachama kwa jumla.

 

9 years ago

StarTV

Mgombea Urais adai vyama vya upinzani havitendewi haki

Mgombea Urais kupitia Chama cha Tanzania Labour TLP Macmillan Lyimo ameitupia lawama Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa haiwatendei haki baadhi ya wagombea urais kupitia vyama vya upinzani kwa kutowapa Fedha za ruzuku.

Akizungumza na waandishi wa habari Mgombea Urais TLP Macmillan Lyimo amesema wamekuwa wakibaguliwa licha ya mataifa ya nje kutoa fedha za kusaidia uchaguzi nchini wakati Tume za Uchaguzi za Afrika Mashariki isipokuwa Tanzania zikiwawezesha wagombea wote kwa usawa.

Mgombea huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani