VYAMA vya upinzani bado vina safari ndefu kufikia ukongwe na mafanikio ya Chama cha Mapunduzi nchini-Angellah Kairuki.
![](http://1.bp.blogspot.com/-hprbIEVr3Mk/Uu5kc8-xb-I/AAAAAAACZ9M/NVSTGAFjstY/s72-c/akizungumza.jpg)
"Miaka michache tu wanajigamba, wanapiga kelele, lakini pia kwa kipindi hicho kifupi tayari wameanza mifarakano,Wafanye kazi kubwa kutufikia,"alisema Angellah Kairuki ambaye ni Mjumbe Baraza la Taifa la Umoja wa Wanawake (UWT), Angellah Kairuki.
Angellah ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, aliyasema hayo wakati akizungumza katika sherehe za kuadhimisha miaka 37, ya Chama cha Mapinduzi, zilizoandaliwa na UWT, kata ya Mabwepande, Kinondoni Dar es Salaam.
Alisifu kwamba hadi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Safari ya mafanikio ya soka bado ndefu
11 years ago
Mwananchi27 Feb
KILIMO: Safari ya mafanikio bado ni ndefu Tanzania
10 years ago
Habarileo15 Dec
Wasira: Vyama vya upinzani nchini ni vyama vya matukio
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen Wasira amewaambia wananchi wa Tarime katika kampeni za CCM kuhitimisha mikutano ya Serikali za Mitaa mwishoni mwa wiki kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya matukio.
5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya Corona: Bado kuna safari ndefu kuimaliza corona - WHO
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Safari bado ni ndefu - Msama
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
Safari bado ndefu kuelekea Ikulu
KWANZA ninaomba radhi kwa safu hii kuadimika kwa takriban wiki mbili mfululizo.
Evarist Chahali
5 years ago
CHADEMA Blog13 Feb
Tamko la Vyama vya Siasa vya Upinzani Vilivyokutana Zanzibar tarehe 16 -18 Desemba, 2018 KUTAFAKARI Khatima ya Demokrasia Nchini Tanzania.
10 years ago
Bongo Movies12 May
Vihoja Kutoka Bongo Movies: Safari Bado ni Ndefu!
Ukisikia kuigiza watu wanaigiza mpaka mavazi.ukimwona kwa mbele kwenye camera Yuko smart! Hii ilikuwa katika shooting . scene mojawapo ya bongo Movies.
By Natasha Mamvi
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Safari bado ndefu kwa KKK na mpango wa BRN