Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CAG ABAINI KUWEPO KWA ONGEZEKO LA DENI LA SERIKALI KWA BOHARI KUU YA DAWA


Charles James, Michuzi TV

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Nchini (CAG) kwa mwaka ulioisha Juni 2019 imebaini kuwepo kuongezeka kwa deni la serikali kwa bohari kuu ya dawa (MSD) kwa kiasi cha Sh bilioni 16.18 kutoka Sh bilioni 37.48 za mwaka uliopita.

Ukaguzi huo wa CAG una mashaka kuwa ukwasi wa MSD unazidi kushuka hivyo kuathiri utekelezaji wa mipango mbalimbali ikiwemo usambazaji wa dawa na vifaa tiba kwa jamii pamoja na utekelezaji wa mipango yake...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA MISAADA LA MAREKANI USAID LAKABIDHI PIKIPIKI 10 BOHARI KUU YA DAWA ZANZIBAR

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Halima Maulid Salum na Mshauri Muandamizi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Bi. Kelly Hamblin wakisaini makabidhiano ya pikipiki 10 kwa ajili ya ufuatiliaji uwepo wa dawa katika vituoni vya afya Wilaya. Hafla hiyo imefanyaka Bohari Kuu la Dawa Maruhubi Mjini Zanzibar. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Halima na Mshauri Muandamizi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Bi. Kelly wakibadilishana hati ya makabidhiano. Naibu...

 

5 years ago

CCM Blog

NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. MOLLEL ATEMBELEA BOHARI KUU YA DAWA (MSD) JIJINI DAR ES SALAAM

Na WAMJW- DSM.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt Godwin Mollel ametembelea Bohari ya Dawa (MSD) Makao Makuu na kuzungumza na watumishi wa taasisi hiyo ili kufahamu namna taasisi hiyo inavotekeleza majukumu yake.
Akizungumza na viongozi wa Bohari ya Dawa Jijini Dar es Salaam Dkt Mollel amesema lengo la kutembelea taasisi hiyo ni kuangalia maboresho katika uagizaji, utunzaji na usambazaji wa dawa vifaa tiba na vitendanishi vya maabara ili kuboresha huduma ya...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID SADIKI AIPONGEZA BOHARI YA DAWA (MSD) KWA KUTOA HUDUMA BORA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick, ameitaka  Bohari ya Dawa MSD kuendeleza kasi ya huduma zake za kupambana na ugonjwa wa malaria kwakuwa ni  moja ya taasisi  zilizo mstari wa mbele kupunguza vifo vitokanavyo na ugonjwa huo.Akizungumza jana katika banda la MSD ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Malaria duniani Sadick alisema MSD imekuwa ikifanya jitihada kuhakikisha ugonjwa wa malaria unakoma na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vinapungua.Alisema jitihada hizo za MSD zimechangia...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID MECKY SADICK AIPONGEZA BOHARI YA DAWA (MSD) KWA KUTOA HUDUMA BORA‏

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akisaini kwenye kitabu cha wageni katika banda la Bohari ya Dawa (MSD), katika maonyesho ya kuadhimisha siku ya malaria yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana.  Ofisa wa Kitengo cha Udhibiti Ubora wa MSD, Richard Makalla (kulia), akimuelekeza jambo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki alipotembelea banda la MSD katika maadhimisho hayo. Kushoto ni Ofisa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona : Hatari ya kuwepo kwa dawa bandia katika nchi za Afrika

Idadi kubwa ya dawa bandia zinazohusishwa na virusi vya corona zinauzwa katika nchi zinazoendelea, Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari

 

11 years ago

Michuzi

MSD yatoa utaratibu wa manunuzi ya dawa ndani ya bohari ya dawa

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa Umma kuhusu utaratibu wa manunuzi ndani ya bohari ya dawa. Kulia ni Mkurugenzi wa Manunuzi wa MSD, Heri Mchunga na Mwanasheria, Domonica Meena.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yapunguza deni kwa wakulima

SERIKALI imeendelea na kasi ya kulipa deni ililokuwa inadaiwa na wakulima sehemu mbalimbali nchini ambapo jana Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kanda ya Sumbawanga imewalipa wakulima wa mikoa ya Rukwa na Katavi zaidi ya Sh bilioni tisa kati ya Sh bilioni 22 walizokuwa wakiwadai baada ya kuwauzia mahindi msimu wa ununuzi uliopita.

 

9 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA WASAIDIZI WAKE, NI KWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAPATO YA SERIKALI, KUDHIBITI MATUMIZI YA SERIKALI NA UHIMIZAJI WANANCHI KUFANAYA KAZI KWA BIDII



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Waandishi wa Habari, leo kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)IFUATAYO NI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMA ILIVYOWASILISHWA LEO NA KINANA  Jana tarehe 07/12/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya kikao chake cha kawaida mjini Dar es salaam kwa siku moja. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani