Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CAG abaini kasoro vyama vya siasa

Ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), katika vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu umebaini madudu ikiwamo vyama vinne kutokuwa na akaunti benki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

CAG abaini dosari ruzuku vyama vyote

Mkaguzi Mkuu Msaidizi kutoka Ofisi ya CAG,Benja Majura.
Hesabu za mapato na matumizi ya fedha za ruzuku zilizotolewa na serikali kwa vyama vya siasa nchini, ikiwamo CCM, Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, kati ya mwaka 2009 na 2013 zimegubikwa na dosari na hivyo kusababisha baadhi kupata hati yenye shaka na vingine hati mbaya kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Vyama vilivyopata hati zenye shaka kufuatia ukaguzi wa hesabu zake uliofanywa na CAG ni CCM, Chadema,...

 

10 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Majimaji abaini kasoro

Kocha wa Majimaji, Mika Lonnstrom ametoa tathmini ya timu yake kwenye mechi kumi za mwanzoni wa msimu huu ambazo imeshacheza huku akisema kuwa ameridhika na kiwango chao ingawa kuna kasoro chache zinazotakiwa kurekebishwa.

 

10 years ago

GPL

USINZIBE MDOMO VIKOSI VYA ULINZI VYAMA VYA SIASA?!

Elnest Mangu. TANZANIA tuna majeshi kadhaa na vyombo vya ulinzi na usalama vinavyotambulika kisheria. Tunalo Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza. Chini yake, JWTZ unawakuta JKT, kwa polisi, tunao Zimamoto, FFU, Usalama barabarani (Trafiki) na Mgambo. Majeshi na vikosi hivi vina majukumu yanayofahamika na kukubalika. Kwa hiyo haishangazi tunapoona polisi wakitumika kuwakamata majambazi, ambao wakati mwingine...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATOA NENO KWA VIONGOZI VYA VYAMA VYA SIASA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ni vema viongozi wa vyama vya siasa nchini wakaonesha mfano wa kuendesha siasa za kistaarabu zenye lengo la kuwaunganisha watanzania na siyo kuwatenganisha.

“Hivyo basi, tudumishe utulivu, amani, mshikamano pamoja na ustaarabu wetu wa Kitanzania katika kipindi chote cha kampeni na Uchaguzi Mkuu ili kulifanya Taifa letu kuendelea kuwa kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.”

Waziri Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani