Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Majimaji abaini kasoro

Kocha wa Majimaji, Mika Lonnstrom ametoa tathmini ya timu yake kwenye mechi kumi za mwanzoni wa msimu huu ambazo imeshacheza huku akisema kuwa ameridhika na kiwango chao ingawa kuna kasoro chache zinazotakiwa kurekebishwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

CAG abaini kasoro vyama vya siasa

Ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), katika vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu umebaini madudu ikiwamo vyama vinne kutokuwa na akaunti benki.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Mzungu atua Majimaji

Dar es Salaam. Klabu ya Majimaji ya Songea imejiunga na klabu nyingine za Ligi Kuu kuajiri kocha kutoka nje ya Afrika.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Majimaji ataka apewe miezi mitatu

Licha ya kusema timu yake iko tayari kwa Ligi Kuu, kocha mkuu wa Majimaji, Mika Lonnstrom amekiri kuwa bado kikosi chake hakijawa na ubora anaoutaka, ila amejipa miezi mitatu ili timu hiyo iwe fiti kwa asilimia 100.

 

10 years ago

Mwananchi

DC abaini mchezo mchafu wa wauguzi

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ahmed Kipozi amesema atawachukulia hatua baadhi ya wahudumu wa Hospitali ya Bagamoyo wanaolalamikiwa na wagonjwa kuwa huwalazimisha kwenda kununua dawa nje wakati zinapatikana hospitalini hapo.

 

10 years ago

Vijimambo

CAG abaini dosari ruzuku vyama vyote

Mkaguzi Mkuu Msaidizi kutoka Ofisi ya CAG,Benja Majura.
Hesabu za mapato na matumizi ya fedha za ruzuku zilizotolewa na serikali kwa vyama vya siasa nchini, ikiwamo CCM, Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, kati ya mwaka 2009 na 2013 zimegubikwa na dosari na hivyo kusababisha baadhi kupata hati yenye shaka na vingine hati mbaya kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Vyama vilivyopata hati zenye shaka kufuatia ukaguzi wa hesabu zake uliofanywa na CAG ni CCM, Chadema,...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mukangara abaini chanzo vijana kujiingiza ugaidi

Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Dk. Fenella Mukangara.
Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, amesema kuwa, kutajwa na kujihusisha vijana wa kitanzania kwenye ugaidi kunatokana na kushawishiwa na kurubuniwa.

Wakati Dk. Fenella akitoa kauli hiyo, tayari vijana wa kitanzania wametajwa kuhusika kwenye matukio ya kigaidi, huku mmoja akidaiwa kuwa miongoni mwa wale walioshambulia Chuo Kikuu cha Garissa kilichopo nchini Kenya na kusababisha vifo vya watu 148.
Katika tukio...

 

5 years ago

Michuzi

RC CHALAMILA ABAINI KINACHOKWAMISHA MAENDELEO YA UTALII FUKWE ZA ZIWA NYASA

RC Chalamila abaini kinachokwamisha maendeleo ya utalii fukwe za Ziwa Nyasa Mkuu wa Mkoa (RC) wa Mbeya, Albert Chalamila wiki hii alifanya ukaguzi wa Fukwe za Ziwa Nyasa, hususan eneo la fukwe za Matema wilayani Kyela kwa lengo la kubaini changamoto zinazokwamisha maendeleo ya Sekta ya Utalii katika eneo hilo.
Chalamila alieleza jinsi ambavyo barabara iliyojengwa kwa maagizo ya Rais John Magufuli kutoka Kyela Mjini hadi fukwe za Matema, iliyogharimu Sh. 65 bilioni ilivyoongeza fursa ya ukuaji...

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

9 years ago

StarTV

Waziri wa Afya afanya ziara ya kushtukiza abaini dosari kadhaa Hospital ya Bombo Tanga

 

Waziri wa afya Maendeleo ya Jamii jinsia, Wazee na watoto Ummy Mwalimu amefanya ziara ya ghafla katika hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kukutana na dosari mbalimbali

 

Moja ya mambo yaliyomkera Ummy ni kuwakosa madaktari wa zamu katika hospitali hiyo pamoja na ukosefu wa mashuka kwa wagonjwa hali iliyowalazimu kutandika kanga zao.

 

 

Ilikuwa ni ziara ya kustukiza iliyofanywa na Waziri wa afya maendeleo ya jamii ,jinsia wazee na watoto katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Tanga ikiwemo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani