Waziri Mukangara abaini chanzo vijana kujiingiza ugaidi
Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Dk. Fenella Mukangara.
Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, amesema kuwa, kutajwa na kujihusisha vijana wa kitanzania kwenye ugaidi kunatokana na kushawishiwa na kurubuniwa.
Wakati Dk. Fenella akitoa kauli hiyo, tayari vijana wa kitanzania wametajwa kuhusika kwenye matukio ya kigaidi, huku mmoja akidaiwa kuwa miongoni mwa wale walioshambulia Chuo Kikuu cha Garissa kilichopo nchini Kenya na kusababisha vifo vya watu 148.
Katika tukio...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
KwanzaJamii04 Sep
JK ATAJA CHANZO CHA UGAIDI DUNIANI
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-7jaD06Ounc0/VAcWRi9_6UI/AAAAAAAABnU/wtvyoTNqJzw/s72-c/jakaya_kikwete.jpg)
JK: Sera mbaya za ubaguzi chanzo cha ugaidi
NA MWANDISHI WETU
RAIS Jakaya Kikwete amesema moja ya vyanzo vikubwa vya kuzalisha, kulea na kukuza ugaidi duniani ni sera mbaya za ubaguzi zinazowanyima haki za msingi baadhi ya jamii.
Alisema ni muhimu kwa mataifa mbali mbali duniani kubuni na kutunga sera ambazo zinalenga kutoa nafasi na haki za msingi kwa kila mwanajamii na mwananchi kufurahia sehemu ya keki ya taifa.
![](http://4.bp.blogspot.com/-7jaD06Ounc0/VAcWRi9_6UI/AAAAAAAABnU/wtvyoTNqJzw/s1600/jakaya_kikwete.jpg)
9 years ago
Habarileo14 Sep
Mukangara aomba udhamini kwa vijana
WAZIRI wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara ameziomba kampuni mbalimbali kujitokeza na kudhamini mpango wa kuendeleza vipaji vya vijana.
9 years ago
StarTV15 Dec
Naibu waziri Jafo abaini changamoto kadhaa Wilayani Bahi katika  ziara ya kushtukiza
Naibu waziri wa ofisi ya Rais, Tamisemi, utumishi na utawala bora Selemani Jafo jana amefanya ziara ya kushitukiza katika halmashauri ya wilaya ya bahi na kukutana na changamoto mbalimbali zinazoikabili wilaya hiyo.
Changamoto hizo ni pamoja na kutokuwepo kwa mashine ya exray na Ultra sound katika kituo cha zahanati ya wilaya hiyo na mfumo mbovu wa ukusanyaji mapato jambo linalosababisha mapato mengi kupotea.
Naibu waziri ofisi ya Raisi, Tamisemi,utumishi na utawala bora Suleiman Jafo...
9 years ago
StarTV21 Dec
Waziri wa Afya afanya ziara ya kushtukiza abaini dosari kadhaa Hospital ya Bombo Tanga
Waziri wa afya Maendeleo ya Jamii jinsia, Wazee na watoto Ummy Mwalimu amefanya ziara ya ghafla katika hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kukutana na dosari mbalimbali
Moja ya mambo yaliyomkera Ummy ni kuwakosa madaktari wa zamu katika hospitali hiyo pamoja na ukosefu wa mashuka kwa wagonjwa hali iliyowalazimu kutandika kanga zao.
Ilikuwa ni ziara ya kustukiza iliyofanywa na Waziri wa afya maendeleo ya jamii ,jinsia wazee na watoto katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Tanga ikiwemo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-H3-KNX-dX9g/XmeX0YyIc5I/AAAAAAALibI/TSqYcZCmxR8Ej4YsCb_OB6KqPCAGFhmwgCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_2620-2AA-1024x625.jpg)
WAZIRI MKUU AKAGUA DARAJA LA MUDA LA KIYEGEYA, Abaini Meneja wa TANROADS Mkoa bado hajateuliwa
![](https://1.bp.blogspot.com/-H3-KNX-dX9g/XmeX0YyIc5I/AAAAAAALibI/TSqYcZCmxR8Ej4YsCb_OB6KqPCAGFhmwgCLcBGAsYHQ/s400/PMO_2620-2AA-1024x625.jpg)
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa barabara ya muda kwenye eneo la daraja la Kiyegeya na kusema kazi inaenda vizuri sababu hakuna tena msongamano wa magari kama ilivyokuwa wiki iliyopita.
Hata hivyo, Waziri Mkuu amesisitiza kuwa Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wa mikoa yote nchini wanapaswa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa madaraja yote siyo kwa juu tu bali hadi chini ya madaraja ili...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-H8az2d17Z00/ViS6PxOf3aI/AAAAAAAIA2s/dNelycVnano/s72-c/IMG_2798%2B%2528800x533%2529.jpg)
DKT FENELLA MUKANGARA AHAIDI KUTATUA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA JIMBO LA KIBAMBA
![](http://2.bp.blogspot.com/-H8az2d17Z00/ViS6PxOf3aI/AAAAAAAIA2s/dNelycVnano/s640/IMG_2798%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-4b6s03V-31Y/ViS6Pw3XNqI/AAAAAAAIA2k/OoYssKtTLrI/s640/IMG_2850%2B%2528800x494%2529.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Vqpbaa1erU0/Vf7WbPVTRrI/AAAAAAAH6Vg/xJ0FvaloqdE/s72-c/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara Mukangara achanja mbuga
![](http://1.bp.blogspot.com/-Vqpbaa1erU0/Vf7WbPVTRrI/AAAAAAAH6Vg/xJ0FvaloqdE/s640/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GYHWCn7n0G8/Vf7WavXd4nI/AAAAAAAH6VY/ZZ43ipJG7b4/s640/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi14 May
Waziri Fenella Mukangara akutana na Mmiliki wa Startimes
![Star1](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/y0wck-z4-qleKC4_DrcL6uS7Rm6bfCyqZ2Sfbrl7ZL8vAbAck999PlwOn2_dgUDTwzSVe1EZ1OO6mAgP3NDT0WUvN8V5aqGi3sMcOCkMHzs1hKKN4AL3U_I=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/05/Star1.jpg)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara (kushoto) akielezea jambo kwa Mmiliku wa Startimes Bw. I MR. Pang alipotembelea ofini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam.
![Star3.](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/XSmO1FkFMqgVRMwvCj8nYlyUwEPTZvyon9CG9XlO-u4nC6lf9GhOfvtrJD1wgvntYWHtCjBp4PPckID5UYF2iGWqgSN18n5WWuFCPDrVTDsqt3wp8aXXmI2_=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/05/Star3..jpg)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara (katikati) akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Sihaba Nkinga wakati wa kikao chao na mmiliki wa Startime Bw.Pang (kushoto) alipotembelea ofoini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam.
![Star4. (1)](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/I2EQCeQqiHlYCSUg6qevTHpELgwzamA6Vbx4nWTYGl9JqLtv4_Aam6sVBAa7bOFV5c6us8tj4XM9HmNweWUIzt_0JX4CbZU81sxVEZ3LeG_MVT69q7wRD3AteJU=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/05/Star4.-1.jpg)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni...