JK ATAJA CHANZO CHA UGAIDI DUNIANI
Rais Jakaya Kikwete amesema moja ya vyanzo vikubwa vya kuzalisha, kulea na kukuza ugaidi duniani ni sera mbaya za ubaguzi na zinazowanyima haki za msingi baadhi ya wanajamii ama makundi ya wanajamii. Pia amesema ni muhimu kwa mataifa mbalimbali duniani kubuni na kutunga sera, ambazo zinalenga kutoa nafasi na haki za msingi kwa kila mwanajamii na mwananchi kufurahia sehemu ya keki ya taifa. Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, jijini Dar es Salaam, ilitumwa kwa vyombo vya...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania25 Feb
Shilole ataja chanzo cha migogoro na Nuh
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.
Shilole alidai kuwa mara nyingi wamekuwa wakigombana, lakini chanzo kikiwa ni maneno ya uchonganishi kutoka kwa marafiki zao wa karibu ambao wana lengo la kuwatenganisha.
Mwanadada huyo alidai kutokana na hali hiyo, hivi sasa ameamua kutowahusisha suala lolote linalohusu maisha yake ili...
11 years ago
Mwananchi26 Dec
Kakobe ataja chanzo cha mawaziri mizigo
10 years ago
Bongo Movies25 Feb
Shilole Ataja Chanzo cha Migogoro na Nuh Mziwanda
Mwanamziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.
Shilole alidai kuwa mara nyingi wamekuwa wakigombana, lakini chanzo kikiwa ni maneno ya uchonganishi kutoka kwa marafiki zao wa karibu ambao wana lengo la kuwatenganisha.
Mwanadada huyo alidai kutokana na hali hiyo, hivi sasa ameamua kutowahusisha suala lolote linalohusu maisha yake ili kupunguza migogoro ya mara kwa mara...
10 years ago
Uhuru NewspaperJK: Sera mbaya za ubaguzi chanzo cha ugaidi
NA MWANDISHI WETU
RAIS Jakaya Kikwete amesema moja ya vyanzo vikubwa vya kuzalisha, kulea na kukuza ugaidi duniani ni sera mbaya za ubaguzi zinazowanyima haki za msingi baadhi ya jamii.
Alisema ni muhimu kwa mataifa mbali mbali duniani kubuni na kutunga sera ambazo zinalenga kutoa nafasi na haki za msingi kwa kila mwanajamii na mwananchi kufurahia sehemu ya keki ya taifa.
Rais Kikwete alisisitiza kuwa sera za kichumi na kijamii zina mchango mkubwa katika kukabiliana na kupambana dhidi ya...
10 years ago
Habarileo11 Mar
Malecela ataja chanzo mbu anayeleta dengue
ASILIMIA kubwa ya mazalio ya mbu Aedes aliyeambukiza virusi vya Dengue katika jiji la Dar es Salaam mwaka jana, huzaliwa kwenye vyombo vya plastiki na matairi ya magari, utafiti umebaini.
10 years ago
Vijimambo11 Apr
Waziri Mukangara abaini chanzo vijana kujiingiza ugaidi
Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, amesema kuwa, kutajwa na kujihusisha vijana wa kitanzania kwenye ugaidi kunatokana na kushawishiwa na kurubuniwa.
Wakati Dk. Fenella akitoa kauli hiyo, tayari vijana wa kitanzania wametajwa kuhusika kwenye matukio ya kigaidi, huku mmoja akidaiwa kuwa miongoni mwa wale walioshambulia Chuo Kikuu cha Garissa kilichopo nchini Kenya na kusababisha vifo vya watu 148.
Katika tukio...
5 years ago
Raia Mwema12 Mar
Chimbuko na mwenendo wa ugaidi duniani
KWA upande mwingine shambulizi la kigaidi huko Nice linaashiria kuwa wakati kwa muda mrefu magari
Evarist Chahali
10 years ago
Mwananchi18 Feb
Ufisadi duniani ndiyo mbolea ya ugaidi
9 years ago
Mwananchi02 Jan
Hofu ya ugaidi yatawala mwaka mpya duniani