Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shilole ataja chanzo cha migogoro na Nuh

shilole-na-nuhu-mziwandaNA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.
Shilole alidai kuwa mara nyingi wamekuwa wakigombana, lakini chanzo kikiwa ni maneno ya uchonganishi kutoka kwa marafiki zao wa karibu ambao wana lengo la kuwatenganisha.
Mwanadada huyo alidai kutokana na hali hiyo, hivi sasa ameamua kutowahusisha suala lolote linalohusu maisha yake ili...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Shilole Ataja Chanzo cha Migogoro na Nuh Mziwanda

Mwanamziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.

Shilole alidai kuwa mara nyingi wamekuwa wakigombana, lakini chanzo kikiwa ni maneno ya uchonganishi kutoka kwa marafiki zao wa karibu ambao wana lengo la kuwatenganisha.
Mwanadada huyo alidai kutokana na hali hiyo, hivi sasa ameamua kutowahusisha suala lolote linalohusu maisha yake ili kupunguza migogoro ya mara kwa mara...

 

10 years ago

KwanzaJamii

JK ATAJA CHANZO CHA UGAIDI DUNIANI

Rais Jakaya Kikwete amesema moja ya vyanzo vikubwa vya kuzalisha, kulea na kukuza ugaidi duniani ni sera mbaya za ubaguzi na zinazowanyima haki za msingi baadhi ya wanajamii ama makundi ya wanajamii. Pia amesema ni muhimu kwa mataifa mbalimbali duniani kubuni na kutunga sera, ambazo zinalenga kutoa nafasi na haki za msingi kwa kila mwanajamii na mwananchi kufurahia sehemu ya keki ya taifa. Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, jijini Dar es Salaam, ilitumwa kwa vyombo vya...

 

11 years ago

Mwananchi

Kakobe ataja chanzo cha mawaziri mizigo

>Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zacharia Kakobe amesema mawaziri mizigo ni matunda ya uteuzi mbovu unaofanywa na mamlaka husika ambao hauzingatii vipawa vya uongozi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanasiasa chanzo cha migogoro ya ardhi

WANASIASA wamebainika kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi inayotokea nchini na kusababisha vifo huku wengine wakibaki na ulemavu kama inavyojitokeza katika mgogoro wa Kiteto, mkoani Manyara. Mbali na hilo, serikali...

 

9 years ago

Habarileo

Ugawaji ardhi kinyume chanzo cha migogoro

UGAWAJI usiozingatia sheria ya ardhi umetajwa kuwa chanzo cha migogoro katika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakimiliki ekari 3,000 hadi 5,000.

 

9 years ago

Habarileo

Chanzo cha migogoro ya ardhi Kilwa chaelezwa

KUKOSA uelewa juu ya Sheria ya Ardhi kwa jamii katika vijiji vya Kiranjeranje na Mandawa wilayani hapa, kumetajwa kusababisha migogoro ya mara kwa mara ya ardhi katika maeneo hayo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Migogoro, vurugu chanzo cha unyanyasaji wanawake

IMEFIKA wakati Tanzania kupitia Bunge kuridhia Azimio la Umoja wa Mataifa namba 1325 (UN Resolution 1325) ili kukomesha vitendo vya kikatili na unyanyasaji wa kijinsia wanavyotendewa wananchi wasiokuwa na hatia,...

 

10 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WATAKA CHANZO CHA SIASA KALI ZINAZOLETEA MIGOGORO KICHUNGUZWE

DSC_0593Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Amani, Waziri wa  Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Seif Rashid, akisoma hotuba kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya amani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.DSC_0415Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, akisoma ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-Moon kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Umoja wa Mataifa wataka chanzo cha siasa kali zinazoletea migogoro zichunguzwe

DSC_0007

Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Amani, Waziri wa  Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Seif Rashid akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kuhudhuria maadhimisho hayo na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Joseph Masasi (wa pili kulia), Kamishna wa Ustawi wa Jamii, Bw. Dunford Makala (katikati) na Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania , Bw. Ali Rajab (kulia) pamoja na viongozi wengine taasisi ya watu wenye ulemavu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani