Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Sera mbaya za ubaguzi chanzo cha ugaidi


NA MWANDISHI WETU
RAIS Jakaya Kikwete amesema moja ya vyanzo vikubwa vya kuzalisha, kulea na kukuza ugaidi duniani ni sera mbaya za ubaguzi zinazowanyima haki za msingi baadhi ya jamii.
Alisema ni muhimu kwa mataifa mbali mbali duniani kubuni na kutunga sera ambazo zinalenga kutoa nafasi na haki za msingi kwa kila mwanajamii na mwananchi kufurahia sehemu ya keki ya taifa.
Rais Kikwete  alisisitiza kuwa  sera za kichumi na kijamii zina mchango mkubwa katika kukabiliana na kupambana dhidi ya...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

KwanzaJamii

JK ATAJA CHANZO CHA UGAIDI DUNIANI

Rais Jakaya Kikwete amesema moja ya vyanzo vikubwa vya kuzalisha, kulea na kukuza ugaidi duniani ni sera mbaya za ubaguzi na zinazowanyima haki za msingi baadhi ya wanajamii ama makundi ya wanajamii. Pia amesema ni muhimu kwa mataifa mbalimbali duniani kubuni na kutunga sera, ambazo zinalenga kutoa nafasi na haki za msingi kwa kila mwanajamii na mwananchi kufurahia sehemu ya keki ya taifa. Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, jijini Dar es Salaam, ilitumwa kwa vyombo vya...

 

11 years ago

Mwananchi

Uongozi mbaya wa shule chanzo cha ugonjwa wa watoto kupagawa

>Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia wasichana wengi hasa wakiwa shuleni wakipata matatizo ya kuweweseka, kupiga kelele na kuchanganyikiwa kiasi cha kushindwa kuendelea na masomo.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Sera zinazonyima haki zinalea ugaidi’

>Rais Jakaya Kikwete amesema moja ya vyanzo vikubwa vya kuzalisha, kulea na kukuza ugaidi duniani ni sera mbaya za ubaguzi zinazowanyima haki za msingi baadhi ya wanajamii.

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mukangara abaini chanzo vijana kujiingiza ugaidi

Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Dk. Fenella Mukangara.
Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, amesema kuwa, kutajwa na kujihusisha vijana wa kitanzania kwenye ugaidi kunatokana na kushawishiwa na kurubuniwa.

Wakati Dk. Fenella akitoa kauli hiyo, tayari vijana wa kitanzania wametajwa kuhusika kwenye matukio ya kigaidi, huku mmoja akidaiwa kuwa miongoni mwa wale walioshambulia Chuo Kikuu cha Garissa kilichopo nchini Kenya na kusababisha vifo vya watu 148.
Katika tukio...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mauji ya Tulsa: Kile kilichotokea katika mauaji ya 'Black Wall Street', mojawapo ya uhalifu mbaya zaidi katika historia ya ubaguzi Marekani

Mauaji hayo yametajwa kuwa mabaya zaidi dhidi ya jamii ya watu weusi nchini Marekani lakini tukio hilo lilifichwa.

 

10 years ago

GPL

FAMILIA YAWEKA WAZI CHANZO CHA KIFO CHA SECKY

Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' enzi za uhai wake. Familia ya Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' imeweka wazi chanzo cha kifo cha marehemu baada ya kuzagaa habari mitandaoni kuhusu chanzo cha kifo chake. Familia hiyo imeeleza kuwa marehemu aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba mtoto wake nyumbani kwake kisha akapelekwa hospitali na baadaye kufariki dunia akiwa hospitali. Enzi za uhai wake, marehemu alikuwa...

 

10 years ago

Michuzi

NASSAR ASHIRIKI UJENZI WA CHANZO CHA MAJI KIJIJI CHA KARANGAI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI

MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar jana ameungana na mamia ya wananchi katika kijijicha Karangai kata ya Kikwe katika jimbo hilo kufanya shughuli za awali za ujenzi wa chanzo kipya cha Maji kwa ajili ya umwagiliaji.


Zoezi hilo lilo anza majira ya saa 3 asubuhi na kumalizika majira ya saa 12 jioni ilishuhudiwa Mbunge Nassar akishiriki kazi za mikono ikiwemo kubeba mawe na kuayapanga katika eneo la mto kwa ajili ya ujenzi wa chanzo hicho.

Akizungumza katika eneo hilo ,Nassar...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge Joshua Nassari ashiriki ujenzi wa chanzo cha maji kijiji cha Karangai katika jimbo la Arumeru Mashariki

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa amepanda kwenye Lori lililokuwalikibeba mawe kwa ajili ya ujenzi wa chanzo kipya cha maji kwa ajili ya kumwagilia katika kijiji cha Karangai kata ya Kikwe katika jimbo hilo. Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki , Joshua Nassari akishirikiana na wananchi katika kijiji cha Karangai kuweka mawe katika chanzo cha maji kwa ajili ya umwagiliaji.

11136751_10153393923082938_5790109227992099170_n

Mbunge Nassari akisaidia katika hatua za awali za ujenzi wa eneo hilo. Mbunge Joshua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani