Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge laanza kufuatilia dosari ripoti ya CAG

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeanza kushughulikia dosari zilizobainishwa kwenye ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenye halmashauri 140 nchini kwa mwaka wa fedha 2012/2013.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bunge laanza kuchambua ripoti za Kamati

 Mkutano wa 14 wa Bunge, unaendelea mjini Dodoma leo. Inatarajiwa kwamba wabunge wataendelea kutema cheche dhidi ya utendaji usioridhisha wa baadhi ya mawaziri. Kwa mujibu wa ratiba ya mkutano huo, leo wabunge watachangia ripoti tatu za kamati za kudumu za Bunge zinazosimamia fedha za umma zilizowasilishwa wiki iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge laanza kuifanyia kazi ripoti ya escrow

Ripoti ya kashfa ya fedha zilizochotwa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow kutoka Benki Kuu (BoT), imejadiliwa jana katika kikao cha Kamati ya Uongozi ya Bunge.

 

11 years ago

Vijimambo

CAG abaini dosari ruzuku vyama vyote

Mkaguzi Mkuu Msaidizi kutoka Ofisi ya CAG,Benja Majura.
Hesabu za mapato na matumizi ya fedha za ruzuku zilizotolewa na serikali kwa vyama vya siasa nchini, ikiwamo CCM, Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, kati ya mwaka 2009 na 2013 zimegubikwa na dosari na hivyo kusababisha baadhi kupata hati yenye shaka na vingine hati mbaya kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Vyama vilivyopata hati zenye shaka kufuatia ukaguzi wa hesabu zake uliofanywa na CAG ni CCM, Chadema,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ripoti CAG balaa

RIPOTI ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), kuhusu kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh bilioni 200, kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki Kuu...

 

11 years ago

Mwananchi

Ripoti ya CAG yamng’oa meya

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemtaka Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk Anatory Amani kuachia ngazi baada ya Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kubaini ubadhilifu katika miradi ya halmashauri hiyo na ukiukwaji wa taratibu za kusaini mikataba.

 

10 years ago

Habarileo

Ripoti ya CAG yaanika madudu

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa AssadRIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, imetolewa na kuwasilishwa bungeni jana huku ikiendelea kuibua madudu katika matumizi ya fedha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Apex wataka ripoti ya CAG

WAFANYAKAZI wa Chama Kilele cha Wakulima wa Tumbaku Tanzania (Apex), wamemtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kuweka hadharani taarifa ya ukaguzi wa chama hicho kutokana na kuibuka...

 

11 years ago

Mwananchi

Ripoti za CAG, Kamati kuwang’oa mawaziri?

Kuna kila dalili kuwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na zile za Kamati za Bunge zinazosimamia fedha za umma, huenda zikawang’oa baadhi ya mawaziri

 

10 years ago

Mtanzania

RIPOTI YA CAG Ni madudu kila kona

Na Arodia Peter, Dodoma
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za mitaa,mashirika ya umma na serikali kuu.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa ripoti ya ukaguzi mjini Dodoma jana,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad alisema ukaguzi huo umefanywa katika taasisi 176 za Serikali kuu, halmashauri 163 na mashirika ya umma 109.
Alisema usimamizi wa bajeti kwa mamlaka ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani