Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge laanza kuchambua ripoti za Kamati

 Mkutano wa 14 wa Bunge, unaendelea mjini Dodoma leo. Inatarajiwa kwamba wabunge wataendelea kutema cheche dhidi ya utendaji usioridhisha wa baadhi ya mawaziri. Kwa mujibu wa ratiba ya mkutano huo, leo wabunge watachangia ripoti tatu za kamati za kudumu za Bunge zinazosimamia fedha za umma zilizowasilishwa wiki iliyopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bunge laanza kuifanyia kazi ripoti ya escrow

Ripoti ya kashfa ya fedha zilizochotwa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow kutoka Benki Kuu (BoT), imejadiliwa jana katika kikao cha Kamati ya Uongozi ya Bunge.

 

10 years ago

Habarileo

Bunge laanza kufuatilia dosari ripoti ya CAG

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeanza kushughulikia dosari zilizobainishwa kwenye ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenye halmashauri 140 nchini kwa mwaka wa fedha 2012/2013.

 

11 years ago

Michuzi

kamati za bunge maalum la katiba zaanza kukabidhi ripoti

 Profesa  Nehemia Ossoro (wa tatu kulkia) ambaye ni mwataaluma  aliyeko  Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa  Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini  (ESAURP akifafanua kuhusu suala la gharama ya serikali tatu(shirikishi) leo  kutokana kuwa haina vyanzo vya mapato kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan, ambaye hayupo pichani.  Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Kidawa Hamid Salehe( kulia)akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

TRA KUCHAMBUA RIPOTI YA KITUO CHA UTAFITI CHA KODI CHA KIMATAIFA (ICTD)

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade, kushoto akiwa na afisa mtendaji mkuu wa kituo cha kimataifa cha kodi na maendeleo, Prof Mick Moore, wakiongoza majadiliano juu ya mada mbalimbali zilizowasilishwa katika mkutano mkuu wa mwaka wa kituo cha kimataifa cha kodi na maendeleo,mkutano uliofanyika jana jijini Arusha Wataalamu wa kimataifa  wa masuala ya kodi  wakiendesha mjadala katika mkutano wa mwaka wa kituo cha kimataifa cha utafiti wa masuala ya kodi,mkutano...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Bunge la Mynmar laanza kikao cha mwisho

Bunge la Myanmar limefunguliwa kwa kikao chake cha mwisho kabla ya maamuzi ya matokeo ya uchaguzi wa wiki jana kuanza kutekelezwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge laanza leo kwa posho mpya

Bunge la Bajeti linaanza leo mjini Dodoma huku wabunge wakitarajiwa kuanza kulipwa viwango vipya vya posho, ambazo ni Sh300,000 kwa siku sawa na kiwango wanacholipwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

GPL

BUNGE MAALUMU LA KATIBA LAANZA MJINI DODOMA

BUNGE Maalumu la Katiba limeanza mkutano wake muda huu ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mjini Dodoma. Kwa sasa wajumbe wa bunge hilo wapo katika mchakato wa kumpata Mwenyekiti wa muda mwenye jukumu la kusimamia na kuongoza Bunge katika kusimamia uandaaji na upitishwaji wa Kanuni za Bunge pamoja na kuendesha uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu watakaopatikana siku ya Ijumaa. ...

 

11 years ago

Michuzi

Bunge maalumu la katika laanza leo mjini dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Mjumbe wa Bunge la Katiba, Frederick Msigallah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo Agosti 5, 2014. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani