Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge laanza leo kwa posho mpya

Bunge la Bajeti linaanza leo mjini Dodoma huku wabunge wakitarajiwa kuanza kulipwa viwango vipya vya posho, ambazo ni Sh300,000 kwa siku sawa na kiwango wanacholipwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Bunge maalumu la katika laanza leo mjini dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Mjumbe wa Bunge la Katiba, Frederick Msigallah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo Agosti 5, 2014. 

 

11 years ago

Michuzi

BUNGE MAALUM LA KATIBA LAANZA TENA LEO MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Samuel Sita akitoa maelezo kabla ya kuanga kwa Bunge hilo katika awamu ya pili nay a mwisho ya 60 zilizobakia katika majadala wa Rasimu ya Katiba Mpya ya Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakianza rasmi Nngwe ya Pili ya Majadala wa Rasimu ya Katiba utakaochukuwa siku sitini kamili Mjini Dodoma. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakiingia ndani ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Posho zakwamisha Kamati za Bunge zakwama posho

Ofisi ya Bunge imesema baadhi ya kamati zake zitalazimika kumalizia shughuli zake katika ofisi zao za Dar es Salaam, kwa kuwa haiwezi kuziwezesha zote kusafiri kwa ajili ya ukaguzi maeneo mbalimbali ya nchi.

 

10 years ago

GPL

BUNGE LA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2015/16 LAANZA MJINI DODOMA

MKUTANO wa 20 na wa mwisho wa Bunge la 10 ambalo litapitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2015/16 tayari umeanza mjini Dodoma asubuhi hii. Wabunge watachangia bajeti za wizara na Bajeti Kuu ya Serikali ndani ya siku 44 ikilinganishwa na siku 56 zilizotumika kupitisha bajeti ya mwaka 2014/15 na miaka ya nyuma na bunge hilo litamalizika Juni 27. Badala ya Bunge kuanza saa 3.00 asubuhi hadi saa 7.00 mchana na baadaye saa 11...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...

 

11 years ago

Habarileo

Mapendekezo posho Bunge yatua kwa JK

Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir KifichoKAMATI iliyoteuliwa kushughulikia nyongeza ya posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, imewasilisha mapendekezo kwa Rais Jakaya Kikwete, ikisubiri maelekezo ya kuongezwa au la.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Bunge ladhibiti posho kwa wajumbe watoro

JUKATA laonya katiba si mradi binafsi Mrema: Nina akili timamu sio za UKAWA
NA WAANDISHI WETU BUNGE Maalum la Katiba limeweka udhibiti mkali kwa wajumbe wenye tabia ya kusaini posho bila kuhudhuria vikao.Wabunge wa bunge maalum la katiba wakiendelea na vikaoLimesema kuwa lilishitukia mbinu hizo mapema kabla ya kuanza kwa vikao huku baadhi ya wajumbe wa kundi la Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuwa ndio wamekuwa na mchezo huo.Kutokana na hali hiyo, mfumo wa malipo kwa wajumbe kwa sasa umebadilika...

 

11 years ago

Habarileo

Posho Bunge la Katiba Sh 300,000 kwa siku

BUNGE Maalumu la Katiba litafunguliwa rasmi Jumatano ijayo ya Februari 26, mwaka huu likiwa na wajumbe 629 na imethibitishwa kuwa kila mjumbe atalipwa Sh 300,000 kwa siku. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashillilah, aliwaambia waandishi wa habari hayo jana ndani ya ukumbi mpya wa Bunge, walipoingia kwa mara ya kwanza ndani ya ukumbi huo kuangalia mfumo wa kisasa wa sauti na mambo mengine.

 

11 years ago

Michuzi

mhe livingtsone lusinde aongelea bunge maalumu la katiba, na posho ya laki saba kwa siku

Mbunge wa Jimbo la Mtera Mh. Livingstone Lusinde akiongea baada ya kusajiliwa kama mjumbe wa kamati ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma Februari 16, 2014

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani