Visima vya maji Iringa vyatajwa kusababisha vifo
Kukithiri kwa visima vya maji katika eneo la Changalawe mjini Mafinga wilayani Mufindi mkoani Iringa kumetajwa kusababisha vifo visivyo vya lazima kwa wananchi kutokana na eneo hilo kutokuwa na huduma ya maji ya bomba.
Umuhimu wa huduma ya maji unawalazimu wakazi wa Changalawe kubuni njia mbadala ya kupata maji jirani kwa kuchimba visima nje ya nyumba zao jambo ambalo limetajwa kuhatarisha maisha mara kwa mara.
Baadhi ya visima hivyo vinaurefu zaidi ya futi 15 kwenda chini, jambo ambalo ni...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Nov
Uharibifu Vyanzo Vya Maji Mto Zigi vya waweza kusababisha tatizo la maji Tanga
Mamlaka ya majisafi na majitaka Tanga UWASA imesema uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya maji vya mto Zigi unaweza kusababisha jiji hilo kuingia kwenye tatizo la maji.
Tayari Mamlaka hiyo imeanzisha Umoja wa Wakulima hifadhi Mazingira Kihuwhi Zigi, UWAMAKIZI kama harakati ya kukabiliana na uchimbaji wa madini, kilimo na ukataji wa miti kwa ajili ya mbao.
Jiji la Tanga hutegemea maji ya mto zigi kama chanzo pekee cha maji na shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya mto huo huenda...
11 years ago
Michuzi31 Jul
MH. MAKALLA AKAGUA MIRADI YA VISIMA VYA MAJI MKURANGA
![](https://4.bp.blogspot.com/-LYrhx1PyvJ0/U9pucLRjeXI/AAAAAAAArYU/RkEVQ9jnpBY/s1600/Picture+001.jpg)
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA
![](http://3.bp.blogspot.com/-sGDd74hOiZI/VCKCLkkJ18I/AAAAAAAAAFo/CtwEZNVhxy0/s1600/TBL%2B5.jpg)
11 years ago
Mwananchi28 Jun
Dar hatarini kwa unga wa lishe, visima vya maji
10 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Naibu Waziri Makalla akagua Miradi ya Visima vya Maji Mkuranga
![](http://4.bp.blogspot.com/-LYrhx1PyvJ0/U9pucLRjeXI/AAAAAAAArYU/RkEVQ9jnpBY/s1600/Picture+001.jpg)
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (kulia), akipata maelezo kutoka kwa kiongozi wa Mafundi wa Kampuni ya CDM Smith, John Donoherth, kuhusu ujenzi wa kisima kilichopo Mkwalia Mkuranga ambacho ni moja kati ya visima 8 vinavyofanyiwa utafiti maji wilayani humo. Makalla alifanya ziara ya kukagua miradi ya maji wilayani Mkuranga mkoani Pwani leo. Pia alikagua mradi wa kisima cha maji cha Nyamato chenye uwezo wa kutoa maji lita 26,000 kwa saa kitakachohudumia wakazi wa vijiji vya Mvuleni,...
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI SAFI NA SALAMA MKOANI SINGIDA
![](http://1.bp.blogspot.com/-WuKigAmZbnA/U2eeQYPqxhI/AAAAAAAA-S4/fHvcQBosT3A/s1600/s11.jpg)
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA LAMSHIKILIA DEREVA WA LORI MALI YA TEXAS HARDWARE KWA KUSABABISHA AJALI ILIYOPELEKEA VIFO VYA WATU 8 NA MAJERUHI 5 WILAYA YA MAGU
TAREHE 10.06.2020 MAJIRA YA 19:45HRS KATIKA BARABARA YA MWANZA – MUSOMA, ENEO LA IHAYABUYAGA, KATA YA BUKANDWE, TARAFA YA SANJO, WILAYA YA MAGU – MWANZA, DEREVA AITWAE BONIPHACE CLIPHORD @TUJU MIAKA 37, MJITA, MKAZI WA MWANZA-NERA AKIENDESHA GARI NA T.322 DCB TRAILER T.1351 DCA AINA YA SCANIA LIKITOKEA WILAYA YA BUSEGA KWENDA MWANZA MALI YA KAMPUNI YA TEXAS HARDWARE, ILIGONGA TELA YA TRAKTA KWA NYUMA AMBAYO ILIKUWA HAINA TAA ZA NYUMA YENYE NAMBA ZA USAJILI T.952 DGW, BAADA YA KULIGONGA...
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
TBL yatoa msaada wa sh. mil 69 za ujenzi wa visima vya maji Vituka, Mwembeladu wilayani Temeke
Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kulia), akikabidhi mfano wa hundi ya sh Milioni 69 kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vituka, Bi. Amina Rashid Simba kwa ajili ya kuchimba visima vya maji katika maeneo ya Vituka na Mwembeladu, Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam jana. Wengine katika picha ni Katibu wa Diwani Bw. Ismail Ng’ombo (wa pili kulia), Bw. Kassimu Makoa na Bi. Zubeda Ali Ligubike aliyetoa eneo la mradi huo. (Na Mpigapicha Wetu)