Wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ kutoka Jumatatu ijayo
Vanessa Mdee ataachia wimbo wake mpya ‘Never Ever’ Jumatatu ijayo. Kava la single mpya ya Vanessa Mdee ‘Never Ever.’ Picha ilipigwa na Osse Greca Sinare Wimbo huo umetayarishwa na prodecer wake, Nahreel wa The Industry. Wimbo uliopita, Nobody But Me aliomshirikisha rapper wa Afrika Kusini, K.O nao ulitayarishwa na mtayarishaji huyo ambaye pia msanii wa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo507 Oct
Umeziona picha mpya za single ijayo ya Vanessa Mdee? Zinavutia
9 years ago
Bongo517 Nov
Vanessa Mdee arekodi wimbo mpya Nigeria na Runtown

Mshindi wa tuzo ya AFRIMA 2015 ‘Best African Pop’ , Vanessa Mdee a.k.a Vee Money bado yuko nchini Nigeria akifanya Interviews pamoja na kurekodi nyimbo mpya.
Vanessa ambaye hivi sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Never Ever’, jana amerekodi wimbo mpya kwa producer E Kelly Beatz wa Naija. “Cooking with my bro @ekellybeatz #Lagos” Vanessa aliandika kwenye picha aliyopost Instagram.
Kwenye wimbo huo Vee amesema amemshirikisha Runtown ambaye wiki chache zilizopita alikuja Tanzania...
10 years ago
Bongo524 Feb
Picha: GK aingia studio na Vanessa Mdee kuandaa wimbo mpya
10 years ago
Bongo508 Oct
Video ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ kutambulishwa Trace Urban (Oct. 9 )
11 years ago
Bongo511 Sep
Jux azungumzia tetesi za kuhusu wimbo wake mpya ‘Sisikii’ kama amemuimbia Vanessa Mdee
10 years ago
Bongo521 Nov
Vanessa Mdee: Wimbo wangu ujao ni wa rap
10 years ago
Bongo521 Oct
Video: Mtazame Iyanya akiufurahia na kuuimba wimbo wa Vanessa Mdee ‘Hawajui’
9 years ago
Bongo503 Dec
Chege kuachia video mpya Jumatatu ijayo

Baada ya kukaa kwa wiki kibao nchini Afrika Kusini, Chege amerejea nchini Jumatano hii.
Jumatano ijayo ataachia video ya wimbo aliomshirikisha msanii wa Nigeria, Runtown.
Chege ameiambia Bongo5 kuwa akiwa nchini humo pia alikutana na wahusika wa TV mbalimbali kubwa za Afrika ili kutambulisha kazi yake mpya na kupewa ratiba ya uzinduzi.
“Nilikuwa kwenye mzungumzo ya kupewa ratiba ya kuachia video kwenye TV kubwa na nashukuru Mungu nimerudi jana na leo nitapewa ratiba kwaajili ya TV za nje,...
10 years ago
Bongo520 Oct
Abdul Kiba adai wimbo ‘Ayaya’ alikuwa amshirikishe Vanessa Mdee ila ikashindikana