Chege kuachia video mpya Jumatatu ijayo
Baada ya kukaa kwa wiki kibao nchini Afrika Kusini, Chege amerejea nchini Jumatano hii.
Jumatano ijayo ataachia video ya wimbo aliomshirikisha msanii wa Nigeria, Runtown.
Chege ameiambia Bongo5 kuwa akiwa nchini humo pia alikutana na wahusika wa TV mbalimbali kubwa za Afrika ili kutambulisha kazi yake mpya na kupewa ratiba ya uzinduzi.
“Nilikuwa kwenye mzungumzo ya kupewa ratiba ya kuachia video kwenye TV kubwa na nashukuru Mungu nimerudi jana na leo nitapewa ratiba kwaajili ya TV za nje,...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo520 Oct
Joh Makini, G-Nako na Nikki Wa Pili kuachia single 3 mpya wiki Ijayo, 2 zimefanyiwa video na Justin Campos
9 years ago
Bongo505 Oct
Wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ kutoka Jumatatu ijayo
10 years ago
Bongo510 Mar
Ni collabo na Diamond au na Mnigeria: Nay wa Mitego kuachia kazi mpya wiki ijayo
9 years ago
Bongo523 Oct
Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Nonini aliyomshirikisha Chege — Wanajishuku
9 years ago
Mtanzania28 Sep
Mo Fire kuachia video mpya
NA BADI MCHOMOLO
MKALI wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Mtila Hamisi ‘Mo Fire’, anatarajia kuachia video yake mpya ijulikanayo kwa jina la ‘Tomorrow’.
Wimbo huo ambao uliandaliwa katika studio za Expendable, video yake imetayarishwa na kampuni ya A, J chini ya Azizi Kikonyo.
“Kwa sasa naanza kwa kuachia video yangu wiki hii na baada ya muda nitaachia wimbo wangu mwingine ili nijitangaze vizuri kimuziki.
“Kuna kazi yangu ipo njiani nimemshirikisha Ney wa Mitego, wimbo huo utaanza kusikika...
9 years ago
Bongo530 Dec
Video mpya ya Chege ‘Sweety Sweety’ yaanza kuinyemelea chati ya MTV Base
Ni ndoto za kila msanii anayewekeza pesa zake kwenda kufanya video nje ya nchi na waongozaji wa nje kuona video yake inampigisha hatua moja mbele, moja wapo ikiwa ni kuchezwa kwenye vituo vikubwa vya nje.
Chege ni miongoni mwa wasanii walioachia video mpya hivi karibuni, na video yake ya ‘Sweety Sweety’ iliyoongozwa na Justin Campos wa kampuni ya Gorilla Films baada ya kupata airplay kwenye kituo cha MTV Base kwa siku 12 imeanza kunusa chati ya nyimbo bora za Afrika za kituo hicho wiki hii...
9 years ago
Bongo523 Oct
Video: Adele aachia single mpya ‘Hello’ na tracklist ya album yake ijayo ‘25’
10 years ago
MichuziHUYU NA YULE Jumatatu ijayo....... DK. Talib Ali