Vanessa Mdee: Watanzania mkituunga mkono tutawaletea sifa
Vanessa Mdee ambaye yeye pamoja na Diamond Platnumz na Peter Msechu wamechaguliwa kuwania tuzo za ‘All Africa Music Awards, AFRIMA 2O14, amesema kama Watanzania watawaunga mkono wana nafasi ya kuiletea nchi sifa kubwa. Vanessa ameiambia Bongo5 kuwa muziki wake unaonesha mwanzo mzuri wa kuanza kutambulika zaidi kimataifa. “Inaonyesha ile kazi tunayofanya kila siku tunavyoamka tunaenda […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM02 Feb
VANESSA MDEE AMMWAGIA SIFA MADAM RITA
\Msanii wa bongo fleva, Vanessa Mdee, amempa sifa mkurugenzi wa Bench Mark Production, Rita Poulsen ‘Madam Rita’, kuwa ni mwanamke anayestahili kuigwa na wanawake wengi nchini.
Akizungumza na mtanzania jana, Vanessa alisema sifa hizo amezitoa ikiwa ni siku ya kuzaliwa kwa rita, ambaye kwa kiasi kikubwa ameweza kuibua vipaji vingi vya wasanii wachanga.
Vanessa alisema Rita ni mwanamke aliyeweza kubadilisha maisha ya vijana wengi ambao wamekuwa na ndoto za kufika mbali kimuziki.
“mara nyingi...
10 years ago
Bongo524 Aug
Jux: Vanessa Mdee ana kila sifa ya kuwa mke
11 years ago
CloudsFM20 Jun
New Video: Vanessa Mdee - Come Over
Baada ya kuisubilia kwa hamu kubwa sana video ya wimbo wa Come over toka kwa Vanessa, imeachiwa siku ya jana kupitia account ya Youtube ya Vanessa mdee chukua muda wako kuiangalia....
9 years ago
Bongo512 Oct
Video: Vanessa Mdee — Never Ever
10 years ago
TheCitizen19 Jun
Mamas is the next step for Vanessa Mdee
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/8v1mVENcKC8/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania01 Apr
Ruby: Namtamani Vanessa Mdee
NA MWALI IBRAHIM
MSANII chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ ameonyesha tamaa ya mafanikio aliyonayo msanii mwenzake, Vanessa Mdee ‘Vee money’.
Ruby ambaye anatamba na wimbo wa ‘Nayule’ alisema, kutokana na mafanikio ya Vanessa ameamua kufuata nyayo zake ili afikie mafanikio yake.
“Anajiheshimu, ana kipaji na anajua nini anafanya na kipi mashabiki wake wanataka kwa wakati huo na mimi nataka kuwa kama yeye na ninaimani nitafika alipo,” alieleza...
10 years ago
IPPmedia20 Oct
Firm honours Vanessa Mdee
IPPmedia
IPPmedia
Musician Vanessa Mdee got a huge boost of his career when she was named an ambassador for the city-based paints firm, Tanzania Crown last Friday. The firm's CEO Rakesh Rao said Mdee deserves the title due to her popularity and performance in the ...
10 years ago
GPL27 Mar