VANESSA MDEE AMMWAGIA SIFA MADAM RITA
\Msanii wa bongo fleva, Vanessa Mdee, amempa sifa mkurugenzi wa Bench Mark Production, Rita Poulsen ‘Madam Rita’, kuwa ni mwanamke anayestahili kuigwa na wanawake wengi nchini.Akizungumza na mtanzania jana, Vanessa alisema sifa hizo amezitoa ikiwa ni siku ya kuzaliwa kwa rita, ambaye kwa kiasi kikubwa ameweza kuibua vipaji vingi vya wasanii wachanga.
Vanessa alisema Rita ni mwanamke aliyeweza kubadilisha maisha ya vijana wengi ambao wamekuwa na ndoto za kufika mbali kimuziki.
“mara nyingi...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania02 Feb
Vannesa ammwagia sifa Madam Rita
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MWIMBAJI wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee, amempa sifa Mkurugenzi wa Bench Mark Production, waandaji wa kipindi cha kuibua vipaji vya muziki cha Bongo Stars Search ‘BSS’, Rita Poulsen ‘Madam Rita’, kuwa ni mwanamke anayestahili kuigwa na wanawake wengi nchini.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Vanessa alisema sifa hizo amezitoa ikiwa ni siku ya kuzaliwa kwa Rita, ambaye kwa kiasi kikubwa ameweza kuibua vipaji vingi vya wasanii wachanga.
Vanessa alisema Rita...
10 years ago
Bongo530 Sep
Vanessa Mdee: Watanzania mkituunga mkono tutawaletea sifa
10 years ago
Bongo524 Aug
Jux: Vanessa Mdee ana kila sifa ya kuwa mke
10 years ago
Bongo506 Dec
Madam Rita kuja na kipindi cha TV ‘Rita Paulsen Show’
9 years ago
GPLMADAM RITA AWAPIGA CHINI WANASIASA
10 years ago
GPLKUMBE! ZARI, MADAM RITA NI NDUGU
10 years ago
GPLBSS: MADAM RITA ALIA NA BASATA
11 years ago
GPLMADAM RITA ATESEKA SIKU 365
9 years ago
Mtanzania12 Dec
KALLA JEREMIAH AMPA DARASA MADAM RITA
NA THERESIA GASPER
MIONGONI mwa wasanii ambao wametokea kukubalika katika miondoko ya Hip Hop ni Jeremiah KALA Masanja ‘Kala Jeremiah’ambaye anasumbua mbaya na ngoma zake kali zenye mashairi ya kiharakati.
Staa huyu ambaye ni zao la shindano la Bongo Star Search (BSS), msimu wa kwanza – mwaka 2007, anatamba na nyimbo kama Walewale, Wimbo wa Taifa, Waambieni na nyinginezo zikiwa zimetoa ujumbe mzuri kwa jamii na hasa kuwakumbusha wanasiasa ahadi walizotoa kwa wananchi wao.
Katika mahojiano...