Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AY ndiye aliyefanikisha collabo yangu na Davido na kuniunganisha na Godfather — Diamond

AY amefungua njia ya mafanikio kwa wasanii wengi wa Tanzania. Miongoni mwa watu walionufaika na mashavu yake ni Diamond. Katika ujumbe wake wa kumpongeza AY kwenye siku yake ya kuzaliwa Jumapili hii, Diamond amedai kuwa AY ndiye aliyemuunganisha na Davido hadi wakafanya remix ya wimbo wake ‘Number One’ uliobadilisha maisha yake. “Misingi na Daraja Imara […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Davido aongelea sakata la BBA na alivyowakera WaTZ, ‘nilieleweka vibaya, Diamond ni kaka yangu angenitetea’

diamond-na-davido-wakicheza-kwa-madaha

Kwa mara ya kwanza na kwa urefu zaidi, Davido amelizungumzia sakata lilitotokea December mwaka jana la ushindi wa Idris Sultan kwenye Big Brother Africa na jinsi tweet yake ilivyowakera Watanzania.

Akiongea kwenye The Sporah Show, Davido alisema tweet ile hakuandika kuwalenga Watanzania bali kampuni ya Multi-Choice inayoanda shindano hilo ambayo pia ndio waandaaji wa tuzo za Channel O. Kabla ya hapo Davido alikuwa ametajwa kuwania tuzo tano lakini alikosa zote. Diamond alishinda tatu.

“Na...

 

11 years ago

Bongo5

Shaa asema amefanya Collabo na Redsan baada ya kugundua ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya, AY ndiye aliyewaunganisha

Baada ya kuachia video mpya ‘Njoo’ iliyoongozwa na director Enos Olik, Shaa amezungumzia mambo kadhaa kuhusu collabo hiyo mpya na star mkubwa wa Kenya, Redsan ikiwemo sababu za kumchagua kumshirikisha pamoja na mtu aliyemsaidia kumpata Redsan kiurahisi na kufanya nae kazi. Shaa amesema baada ya kufanya utafiti aligundua Redsan ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya ambaye […]

 

10 years ago

Vijimambo

Davido AKUBALI KUFANYA collabo na Ali Kiba

Davido asema Tanzania ni nchi ya pili kuichukulia kama nyumbani ndio maana alipost bendera ya Tanzania hivi karibuni.Davido ambaye ameshinda tuzo ya msanii bora wa kiume kwenye Mtv Afrika Music Awards amemtaja Ali Kiba kama msanii anayefata kwenye orodha ya wasanii atakao fanya nao kazi Tanzania.

 

10 years ago

Bongo5

Davido atangaza ujio wa collabo yake na Joh Makini

Hakuna surprise nzuri kama ile ambayo hukuwahi kuona hata dalili, na kwenye muziki hasa kwa msanii wa Bongo hakuna kitu kizuri kama msanii mkubwa wa nje kuanza kutease ujio wa kazi yenu hata kabla yako. Ndicho kilichotokea usiku wa Sept 18 pale staa wa Nigeria, Davido alipotweet kuwa kuna collabo yake na Joh Makini inakuja. […]

 

10 years ago

Bongo5

Davido asema hatafanya collabo na msanii yeyote mwaka huu

Davido ameweka wazi kuwa mwaka huu hatafanya collabo na msanii yeyote awe anayechipukia au A-List. Meneja wa staa huyo Kamal Ajiboye, amesema kuwa Davido amekuwa akipokea maombi mengi ya wasanii wakubwa na wadogo wakitaka kufanya naye collabo tokea mwaka huu umeanza na zote amezikata. Kamal ameongeza kuwa Davido hataki kufanya collabo yoyote ili kuweka nguvu […]

 

11 years ago

Bongo5

Davido azungumzia collabo yake na Rick Ross na Meek Mill

Idadi ya collabo za wasanii wa Afrika, hasa Nigeria na mastaa wakubwa wa Marekani zinazidi kuongezeka. Baada ya Wizkid kuthibitisha kufanya collabo na Chris Brown na Rihanna, P-Square na T.I, sasa mshindi wa tuzo 2 za MTV (MAMA) na BET 2014, Davido nae amefunguka kuhusu collabo yake inayokuja na marapper wakubwa wa Marekani. Davido ameuambia […]

 

11 years ago

Bongo5

Collabo ya Mwana FA na Alikiba ‘Kiboko Yangu’ yanukia

Kabla ya kuachia ‘Mfalme’ aliyomshirikisha G-Nako, Hamis Mwinjuma aka Mwana FA alikuwa amepanga kutoa wimbo aliomshirikisha Alikiba, ‘Kiboko Yangu’. Na pia ‘Kiboko Yangu’ ndio wimbo alioanza kurekodi kwenye studio za MJ Records chini ya producer Marco Chali lakini aliamua kuanza kuachia ‘Mfalme’ iliyotayarishwa na Nahreel. Hata hivyo kwa mujibu wa tweets za Mwana FA na […]

 

10 years ago

Bongo5

Godfather kuongoza video ya Yamoto Band, Diamond aigharamia

Muongozaji wa video za muziki wa Afrika Kusini, Godfather ataongoza video ya wimbo mpya wa kundi la Yamond Band ‘Cheza Kimadoido’ na Diamond ndiye atakayeigharamikia. Meneja wa kundi hilo, Said Fella, amesema Yamoto Band watasafiri Jumatatu kuelekea nchini Afrika Kusini kushoot video hiyo. “Wiki ijayo tunatarajia kufanya video mpya ya Yamoto Band na Godfather atakuwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani