Video: Davido aongelea sakata la BBA na alivyowakera WaTZ, ‘nilieleweka vibaya, Diamond ni kaka yangu angenitetea’
Kwa mara ya kwanza na kwa urefu zaidi, Davido amelizungumzia sakata lilitotokea December mwaka jana la ushindi wa Idris Sultan kwenye Big Brother Africa na jinsi tweet yake ilivyowakera Watanzania.
Akiongea kwenye The Sporah Show, Davido alisema tweet ile hakuandika kuwalenga Watanzania bali kampuni ya Multi-Choice inayoanda shindano hilo ambayo pia ndio waandaaji wa tuzo za Channel O. Kabla ya hapo Davido alikuwa ametajwa kuwania tuzo tano lakini alikosa zote. Diamond alishinda tatu.
“Na...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo518 Dec
Diamond: Sina beef na Davido, watu walinielewa vibaya tu!
10 years ago
Bongo505 Jul
AY ndiye aliyefanikisha collabo yangu na Davido na kuniunganisha na Godfather — Diamond
11 years ago
GPL06 Jan
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/jwk6iuDDPE8/default.jpg)
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-27
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Dorcas alipoeleza kwamba wakati akiwa kule kijijini alikuwa akienda kuhudhuria kliniki alikopimwa na kuelezwa mtoto alikuwa akiendelea vizuri na kupewa maelezo mengine yaliyohusiana na masuala ya uzazi. Je, kiliendelea nini? Songa mbele…
Hata hivyo, kitendo cha kutelekezwa na mama kule kijijini kilinifanya muda mwingi kuwa katika msongo wa mawazo na kujiuliza ilikuwaje mama aliyenishauri nikakae kule na aliyefahamu hali niliyokuwanayo anifanyie...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Mchumba wangu, kumbe wa kaka yangu!
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-26
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Dorcas ambaye hakujua kama alikuwa amepata ujauzito alipokuwa akijisikia ovyo huku pale nyumbani kwao akiwa amebaki yeye, Evance aliyembaka pamoja na dada mwingine. Je, kilifuatia nini? Songa mbele…
Kufuatia kutapika na kuchagua chakula nilijua nilikuwa nasumbuliwa na malaria nikawa nakunywa panadol badala ya kwenda hospitali kwa sababu nilikuwa naogopa sana kuchomwa sindano.
Ingawa mama aliposafiri alikuwa hakai muda mrefu, safari hiyo alikaa...